Duh! Mwaka mzima?Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Mkuu hyo 24 hd naskia kali sana ntaeka siku ttz mpk uvute nguzo kwakoChezea Sport 24 HD na android box, watanyooka tu
Nasubiri hiyo tarehe15 nikalipie,mi nilikuwa nacheki TBC na channel ten tu kwa Sababu wanapandisha bei hovyo wakisingizia eti dola inapanda sijalipia mwaka mzima
Plus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.Chezea Sport 24 HD na android box, watanyooka tu
Dakika 90 unatumia mb ngapiPlus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.
Unaipataje hiyo?Mb hata 400-500 zinatosha kuplay match nzima ila sijui na ulaji WA mauza uza WA hawa jamaa zetu WA hapa kasi tu maana nahisi 4G yao kama jiko linalokula bundle.
Ila kipimo kingine ni uchaguzi WA USA juzi niliangalia toka saa moja asubuhi ipofika saa sita ikanipa reminder ya 2GB imekwisha,so factor mbili labda hawa hapa kasi tu wanakula sana mb au ni kwakuwa video zile Mobdro ni high definition quality
Nenda jukwaa la teknoloji utakuta nyuzi kadhaa zinaelezea.Unaipataje hiyo?
Ni kweli kabisa,juzi jioni walinipigia simu kunijulisha hiyo bei.Dstv kidogo kidogo wanaanza kupata akili kuanzia ijumaa ligi ya Spain itakuwa inaonekana kwenye kifurushi kidogo kabisa cha Dstv bomba ambacho kimepunguzwa bei na kuwa sh 19750.hakika wamegusa kilio chetu,wajiongeze kidogo watupunguzie na Epl katika compact isogee hata mpaka sh60000 itakuwa poa sana.
Sio wao bali ushindani wa kibiashara,market share yao imeshuka pakubwa bila kufanya hivyo watafutika.Dstv kidogo kidogo wanaanza kupata akili kuanzia ijumaa ligi ya Spain itakuwa inaonekana kwenye kifurushi kidogo kabisa cha Dstv bomba ambacho kimepunguzwa bei na kuwa sh 19750.hakika wamegusa kilio chetu,wajiongeze kidogo watupunguzie na Epl katika compact isogee hata mpaka sh60000 itakuwa poa sana.
Sport 24 inawakimbiza dstv lazima wanyookeMkuu hyo 24 hd naskia kali sana ntaeka siku ttz mpk uvute nguzo kwako
Acha uongo kwenye blue stack aikubali ku stream hiyo mobdroPlus MA Mobdro lazima washuke tu maana nilishaacha ujinga me napiga bluestack kwenye pc yangu nafungua Mobdro naconnect na Hdmi cable nakula game kama niko UK kwa msaada WA Vodacom 4G ya buku mbili tu 2Gb.