Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

Mungu ambariki UK kwa kutujali watanzania, hata wakati wa tetemeko Kagera alikua first responder.
Ajabu wa kwetu badala ya pole kala rambirambi na matusi juu kwa ndugu zetu wa bukoba eti serikali haikuleta tetemeko kila mtu atajiju..... jamani hv kweli huyu ndiye aliyetabiriwa ama tungoje mwingine?.Naona viwete hawaponi,wenye ukoma hatutakasiki wala viziwi hawasikii msaada jamani kabla sijapeleka ripoti kwa yohana.
 
Huyu ni mhuni fulani tu aliyeingia ikulu kwa njia za uvunjaji wa kanuni za kumpata mgombea urais kupitia chama chake cha ccm, pia akahitimisha kwenda ikulu kwa njia za wizi na udanganyifu kupitia jeshi la Polisi na Lubuva. .... Ni upumbavu uliovuka mipaka kumsingizia Mungu eti ni chaguo lake!
 
mlitaka kumuingiza yule fisadi kwa njia za mataokeo feki....mkadhibitiwa vilivyo...tukutane 2025
 
Back
Top Bottom