The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 21,303
- 49,380
ndiyo kajifunika shuka tu hana hata sidiria
Aaaaah! unafikiri hicho kipindi hata wanakua na habari ya sidiria?
ndiyo kajifunika shuka tu hana hata sidiria
hongera sana ni nani huyu utafiti
Aaaaah! unafikiri hicho kipindi hata wanakua na habari ya sidiria?
Aaaaah! unafikiri hicho kipindi hata wanakua na habari ya sidiria?
Khe sasa unataka ninune miss chagga? Hahahaaaaa
duh honera kubwa....... mbona ajavaa nguo?
Ni mie huyo napendaje watotoo tena ni girl huyo MziziMkavu na utafiti waache ugomvi wao sasa kila mtu ana wake lol
Unatakiwa mgusane na mtoto muda mfupi tu baada ya kujifungua skin to skin hiyo mama ina faida nyingi sana......
Hahahaha haya maswali ya miss chagga nimecheka sana
Basi jitahidi na wewe