Hii summary siyo ya nchi hiiKitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Hujui kituKwangu kafanya Kosa Kubwa Sana na la Hatari kwake .
Unapokwenda Kuoka Tukio la Mtu anayefanyiwa Attack kwa Kutumia Silaha ya Moto ..nilazima uwe Umejiandaa na Silaha Mfanano wa adui anayoitumia , iki pakitokea mazungira ya Matumizi basi uweze kujihami .
Yeye kaenda na koti la Suti la Pink na simu Kubwa Kama Bomu , Halafu anakaribiana na Adui almost Zero Distance.
Mnaomsifia Shame on You
Yes hata mm nimewaza nikasema vipi huyu hakufundishwa au nn.Mambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa
kabisa hajuiHujui kitu
Ova
Vyombo vmeganda hvyoHamorapa bwana..ngoja niburudike mie nilale maana mambo ya bashite magumuView attachment 485893
Maulidi ni wakumwangalia jicho la5 nasikia anamwambia uyu usalama wa taifa uchwara utaaribu mambo uku anamsukuma na yy kawa mdogo kweli uyu jamaaa mmmm yaweza kuwa nae ni ......
hata nape ameyatumia msikilize vzr je naye ni mmoja wao.
Umemaanisha nini hapo,huku sio FB jaribu kuandia kwa usahihi.Ilaa ki2 ambachoo nashndwa kuelewa hili jeshii la polisi linatumika vipi kwa kawaida polisi lazima aonyeshe kitambulisho sasa nilichoshangaa jamaa kachomoa silaha yakee iyoo iko vipii wadau ?????
Ushaisoma habari ya "Kibanga ampiga mkoloni?"Siku ya leo kumetokea tukio la kustaajabisha ktk tasnia ya siasa nchini tanzania. Tukio hilo limetokea dar es salaam wakati aliyekuwa waziri wa michezo na tamaduni Nape nauye akitaka kuongea na waandishi wa habari baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya uwaziri. Nape ameondelewa leo hii katika nafasi yake baada ya mh rais kufanya marekebisho madogo katika wizara mbili.
Baada ya mh Nape kuwasili maeneo ya Pritoria hotel kulitokea tafrani baada ya watu walitambuliwa kuwa ni maafisa usalama kumzuia asiongee na waandishi na kumtaka arudi ndani ya gari. Wakati sakata hilo likitokea mmoja wa maafisa usalama alitoa bastola na kumtishia Mh Nape ambaye naye hakustuka . Afisa huyo aliirudisha silaha hiyo kiunoni kisha kuanza kumsukuma Mh nape kumrudisha ndani ya gari. Pasipo kutarajiwa kijana mmoja mtanashati aliyevaa koti jekundu alionekana kujongea kujua kinachoendelea baada ya kuona tafrani ikitokea.
Kijana huyo aliweza kutambuliwa kuwa ni mtangazaji maarufu Maulid Kitenge. Kijana huyoo aliweza kuingilia kati na kumtoa afisa usalama kwa nguvu eneo la tukio huku akimsukuma bila kuogopa. Hakika alifanikiwa akamuondoa eneo hilo na afisa huyo alitii bila shurti. Wengi tumeona na kustaajabu na hatuna budi kumpa hongera maulidi kitenge kwa ujasiri aliouonesha.
ILA
Nimejaribu kujiuliza kwa hali ya kawaida kuna raia wa kawaida anaweza kuwa na ujasiri wa namna hiyoo. Nikapata jibu inawezekana na yeye ni wale watu wanaovaa suti nyeusi(mashushu).mpaka sasa bado sijapata jibu sahihi .
Waungwana ninyi mnaonaje nawasilishaView attachment 485865View attachment 485866View attachment 485867View attachment 485868
Jamaa hakuwa na kitambulisho wala chetiIlaa ki2 ambachoo nashndwa kuelewa hili jeshii la polisi linatumika vipi kwa kawaida polisi lazima aonyeshe kitambulisho sasa nilichoshangaa jamaa kachomoa silaha yakee iyoo iko vipii wadau ?????
Labda Hamorapa ndo alibadili tabia mbona akina Maulid walikomaaKinga ni bora kuliko tiba, usalama alikuwa sahihi kutoa silaha bila kuitumia ili kupunguza uwezekano na ulazima wa kuitumia. watu wakijuu kuwa kuna silaha wanabadilisha tabia.
bongo bhana raha sanaHapo Maulid nilimkubali kishenz yaan, jamaa hakuwa mwoga kabsa.
Ila mdogo wangu Harmo rapper alilula kona ni hatari. Alipata kiboko yake pale
Mambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa