MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,400
- 1,706
Amewafunga midomo!!sikutegemea angeongea hivi yaani ameongea kwa hekima sana sasa wale waliokimbilia kulaumu bila kufikiria kwanza wameumbuka...
kweli kila jaribu lina mlango wa kutokea ..
Wamezungumza, lakini si kwa hekima kama mama Anna! Waliongozwa na mihemuko!
Kichwa tu?Kwa taarifa yako huyo mama ni kichwa sana ndio maana hata alipewa tiketi ya kugombea Urais, waliomteua hawakukosea
Kweli Mama ni kichwa! Namkubali Sana!Kwa taarifa yako huyo mama ni kichwa sana ndio maana hata alipewa tiketi ya kugombea Urais, waliomteua hawakukosea
Kasema nini? Kasemaje kuhusu mamlaka husika kutokuwepo kuhakikisha usalama kwenye huo mhadhara? Au ni yale mambo ya "kazi ya Mungu"?Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!
Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nashangaa hata mm namsubiri labda ana uploadBora usingeleta hii habari...sasa kutuambia sisi kaongea vizuri na hekima nyingi bila kujua ameongea nini haina maana sana. Bora ungekaa kimya kuliko kusumbua watu. Hata kama unasali kwa Mwamposa usikimbilie kuanzisha uzi kabla ya kupata info ya kutosha
Binafsi nimemkubali sana mama Anna leo, ujumbe wake ulikuwa mzito uliobeba matumaini!Hongera Sana mama yangu Anna Mghwira!
Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nimekulazimisha kusoma? Onyesha ustarabu basi, ficha ujinga wako!Bora usingeleta hii habari...sasa kutuambia sisi kaongea vizuri na hekima nyingi bila kujua ameongea nini haina maana sana. Bora ungekaa kimya kuliko kusumbua watu. Hata kama unasali kwa Mwamposa usikimbilie kuanzisha uzi kabla ya kupata info ya kutosha
Hongera kwa kuanzisha thread, ungemtag kabisa ili aje asome hapa. Hukutukusudia members wa jf nadhaniHongera Sana mama yangu Anna Mghwira!
Kweli umeonyesha ukomavu wa kiroho, umeongea kwa hekima sana kwenye tukio la kuaga wapendwa wetu huko Moshi. Hivi ndivyo kiongozi anatakiwa kuwa, umeonyesha hekima ya hali ya juu sana. Viongozi wengine wanapaswa kujifunza kwako, hususani sisi vijana. Ubarikiwe sana Mama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kasema hivi basi kafundisha wengi teolojia. Wako madaktari wa teolojia walipata nafasi ya kutoa hadharani chuki zao za moyoni kwenye tukio hili. Hakika tumejifunza mengi, wanafiki wengi sanaMimi ni mkey KKKT, lakini ni vema tuwe kama Mfalme Daudi, kwani hakuwa tayari kumzuru Mfalme Sauli, ingawa uovu ulionekana kwa Sauli? Ni vizuri tumwache Mungu awahukumu watumishi wake! Iwe Mwamposa ametoa kafara au la, bado anabaki kuwa mwana wa Mungu! Hivyo Baba yetu ndie atakae tuhukumu! tusiwe wepesi wa kuwanyoshea mikono wengine!
Sent using Jamii Forums mobile app