muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,729
Kwa nini huyu jamaa wasimpe uwaziri tu
Eti unasema?,punguza utani mkuu..
Kwa nini huyu jamaa wasimpe uwaziri tu
Eti unasema?,punguza utani mkuu..
Apewe uwaziri huyu jamaa anaweza kuongoza
Litakuja litapita muwe mnasoma tarehe vizuri
Mnashindwa Kulelewa Hili Ni Vuguvugu La Uchaguzi Na Wwnajua Fika Vijana Wasomi Ndio Wenye Upeo Kuhusu Siasa Na Wanasiasa Wa Humu Nchini??
Hapo Naona Danganya Toto.
Kwa nini huyu jamaa wasimpe uwaziri tu
Kama Pesa ipo watu wakaichukue hiyo pesa,tena hata kama una.kazi unda kikundi kachukue mpunga,ngoja mie na marafiki zangu tubuni mradi wa pesa nyingi,tukipata tunagawana kila.mtu aendelee na hamsini zake
Mkuu, idea aliyoitoa ni nzuri lakini wasiwasi wangu asije kuwatumia kisiasa tu maana Makonda anajulikana kwa kutumia fursa. (Kupanda kisiasa kupitia jobless).
Mpeni muda mpeni ushirikiano yaweza akawa na nia ya dhati mie mwenyewe silipendi limakonda tangu that day lillipokosa adabu kwa babu jaji mstaafu... BT kama anainiatiate jambo zuri why tusimuunge mkono!!?
Kwa nini huyu jamaa wasimpe uwaziri tu