Hongera sana Balozi Dr. Mahiga, japo najua dhamira yako baada ya UN ilikuwa ni ku-head TISS, sasa Mungu amekujalia kitu kubwa zaidi ya TISS na ukimaliza baada ya miaka 4, itakuwa ni 2014, rudi nyumbani, ongoza moja kwa moja kijiji kwako, 2015 chukua fomu, si unajua tena kuwa ghorofani anapanda Membe, wewe lazima upewe au Foreign au Utawala bora hivyo kuwa boss wa TISS na kutimiza ndoto yako, na kukamata ulaji, hivyo kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja.
Kuna vitu mtu unatamani unakosa unabaki ukisikitika, kumbe Mungu anakuepusha na mambo fulani, hebo ona mwenzako anavyo anavyotahayari!, Mzee Mwinyi kalambwa kibao!, mara msafara wa mkulu unapigwa mawe, mara anaitwa kukabidhi zawadi kwa wasiohusika, mara anafungua jengo kwa majidai huku wamekiuka sheria kwa kujifariji, rais akishafungua tuu, ndio kuhalalisha ukiukwaji wao wa sheria, na rais kweli akalifungua na kesho yake ukuta chali, mara gari la mkulu linachomoka tairi, mara sasa kajaziwa mafuta ya taa badala ya petroli! etc, etc, bora huko uendako!
CONGRATULATIONS!..