Hongera Lema! Hongera Chadema!

Hongera Lema! Hongera Chadema!

again childish continues

sentesi fupi lakini maneno ya busara! nape amejaa utoto na ujinga,huwezi mlinganisha na vijana aina ya mnyika,januari makamba na zitto! pengine ndiyo maana amelea kitambi cha kijinga!
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Kwani nani asiyejua kuwa Jk amepima upepo akaona akiingilia hata hii ambayo mawakili wenu vilaza wameshindwa kutetea uongo atajiweka kwenye nafasi mbaya sana afterall anajua bakora za Lisu.
 
Hivi Nape utakuja kua lini? This is too childish. Sisi ndo tuko Arusha na ndo tuliomchagua kwahiyo kama unaamua kupongeza just do that haya mengine ya maandamano yametoka wapi.
By the way tumeyamisi sana hayo maandamano, ungekuwa hapa Arusha ndo ungejua kuwa maandamano ndo kwanza yameanza kwa kishindo.
Kama siyo Lema tusingekuwa hapa tulipo leo kimaendeleo......lami kila korna ya jiji, leo tunaitwa jiji, wamama wa soko kuu kupewa uwanja wa NMC na wamachinga kujengewa complex pale palipokuwa na mgogoro (Kilombero).
Hayo yote yametendeka ndani ya miezi sita vitu ambavyo Mrema wa CCM kwa miaka kumi ameshindwa...........We are proud of you Lema.
Well come back Kamanda.....Kesho utapata mapokezi ambayo hayajawahi tokea katika historia ya Arusha.
Mkuu kwa Taarifa nilizonazo Lema yuko ndani ya Arusha tayari, Crashwise hebu tuthibishie na kamanda Mungi
teh teh teh bado mna hasira na Nape kwa sababu kamwita padiri BABU,halafu katoa siri kwamba bado ana kadi ya ccm.
Madhara ya ARV feki ndio haya yanajionesha wazi kwa wahanga, alaaniwe sana kada wa CCM madabida.
 
Last edited by a moderator:
Haki ilitakiwa itendeke katika hukumu ya mara ya kwanza, mmempatia lema ubunge wake sababu mlijua fka hata mngemfitin marudio ya uchaguz mdogo msingepumua!
 
Nimependa courage ya nape, hata kama ni pongezi za kinafiki lakini meweza, nadhani wahuika wamezipokea
 
Nape anaweweseka baada ya njama zao na masalia kuanza kufichuka na kuvurugika kwa mipango yao michafu.
 
Usiwe na tabu mkuu, hata JF huwa inatowa viti maalum, hawa huwa hawachelewi kulia na kusema hapa wanaonewa na JF ni Chadema. Mods huu uzi uacheni hapa hapa ujitegemee.

Haahaaa nimecheka sana mkuu, akina nape ni wabunge wa viti maalumu hapa jf
 
Pia weye Nape Musa Salumu Nnauye ( Nje Cup) maandamano yataendelea tu hakuna wa kutuzuia, Marekani wanaandamana, Uingereza wanaandamana, Ujerumani wanaandamana na hata hao magamba wenzako wanaandamana kwanini cdm...makamanda wa ukweli, mapeoples wasiandamane? Ungekuja arusha leo ujionee mwqenyewe watu wanavyosonga mbele.....................Mapeoplessssss peoplesssssssssssssssss...malizia mwenye weye

Safi MAN 4 M4C - nilitaka kuandika kama wewe bahati nzuri umeniwahi. Kwa kweli Shamra shamra kila mahali Arachuga.
 
teh teh teh teh teh teh teh! Vijana wa PM7 hali mbaya sa hivi na kiongozi wao PREZZO,

chezea Ben weyeeeee!

Prezzo au Dogo! Special thanks to Ben and Mamuya.

Hii imekuwa wiki muhimu na kubwa kwa CHADEMA:
- Kikao cha CC na maazimio mazito
- PM7 & Zitto, (naf said).
- Kutimuliwa kwa mamluki na wasaliti kule BAVICHA Mwanza
- Ushindi wa Rufaa ya Lema dhidi ya kuvuliwa ubunge

Can't ask for more!
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Nape unayajua maneno sana lakini kinachokushinda kuelewa ni mantiki yake! Ni kweli uongozi ni kuonyesha njia, na kiongozi shurti uongoze kutokea mbele; je Uongozi wa CCM yako ni kushamirisha Rushwa, ufisadi, ubadhirifu wa mali ya umma, mikataba mibovu, wizi wa nyara za taifa, mauaji ya raia wasio na hatia yanayofanywa na polisi wa serikali ya CCM ndio uongozi unaotuhubiria!? ndio amani unayozungumzia hapa! Barbs to you.

Kumbuka Nape na ukue! UKIPENDA AMANI TETEA HAKI; daima penye dhuluma hakuna amani katu; kama ni maandamano yatafanyika tu; nyie mnaotegemea polisi andaeni risasi za kutosha.

Wewe badala ya kuzungumzia maswala ya msingi; unatafuna raslimali za chama na vuvuzela la kadi ya Dr wa ukweli sio magumashi kama wengine!!

Umesikia azimio la CDM, mwaka 2013, hakuna kulala ni mchakamchaka mpaka turudishe heshima ya taifa hili. Tanzania sio mali ya CCM.
 
NNnnnnnnnnnnnnnnnnnnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaappeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee..... uwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Safi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini

Lione na hili hizo njaa zinawafanya wanafiki wa kuhubiri uongo.
 
Tunapopeleka watoto wetu kusoma India tuwe makini sana, kule kuna Degree mpaka za kuchi kuchi hotae, ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwa DHL ni pesa yako tu.

Simlaumu Nape bali namshangaa aliyempa madaraka Nape ambayo anapwaya mno ni afadhali angeachwa andelee kula pesa za bure kwenye UDC maana hiki cheo hata mtu aliyeishia darasa la nne anakimudu kwa sababu DC hana kazi yoyote, mwenye kazi Wilayani ni DED.

Nape ni lazima uelewe Justice delayed is Justice denied.

Labda tu nikuulize swali la kichokozi gharama za kesi zitalipiwa na Kitengo chako cha propaganda au na Lowasa? maana msipowalipia kwa sababu mmewatuma nyinyi basi mjuwe wanakwenda jela wale, pale hakuna hata sura inayoonekana ina akiba hata ya kamilioni tu benki.

Nimeambiwa mmoja ni mama ntilie.
Wale walitumwa na sasa wataonja tamu ya kutumika kwasababu aliyewatuma atawatosa!
 
kuna kenge ndani ya kisima hiki..ngoja nitoke
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Sijaona udhati wa moyo kwe hongera yako. sana sana unataka uambiwe "umekomaa kisiasa".
 
Dah....Nape we kiboko aise!!! CCM inachungulia kwenye mdomo wa choo sasa...mkikaa vibaya tu....kimenuka!!!!!!!
Mi sina mengi sana. ila tumezipokea hongera zako zilizojaa unafiki, husda na ambazo hazina mantiki yoyote, hizo ni hulka na silka zenu wana magamba puuuuuh!! Tumewachokaaaaaa.........!!!
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!

Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

Wewe unafiki umekuzidi, najua roho inakuuma sana. Vijana kama wewe unadhalilisha vijana watanzania kuwa ni wanafiki. Utampaje mtu pongezi za kinafiki namna hii, you better shut your mouth
 
Back
Top Bottom