Nachukua nafasi hii kuwapongeza Chadema na Mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya Ubunge wa Arusha. Nilidhani na leo mtasema CCM, Nape na Ikulu wameingilia kesi....MKISHINDA HAKI IMETENDEKA, MKISHINDWA KUNA MIKONO YA IKULU...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu Lema umeiona Arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. NARUDIA KWA HILI HONGERENI CHADEMA,HONGERA LEMA!!!

NSafi kaka unaonesha ni namna gani ulivyo mwanasiasa mahiri na msema kweli na ukomavu katika siasa.Ni kweli hawa jamaa haki ni pale wanaposhinda wao lakini wakishindwa ni kelele.Hawa ni kama watoto ni wakuvumiliwa tu.Hata kuwa na kadi mbili babu wao wanao sawa,ila angekuwa anazo zitto ungewasikia wakimtaka ajiondoe chamani.Ni chama ch kikanda,ukabila na udini
linafiki likubwa at work....maji ya taka taka........nachukua nafasi hii kuwapongeza chadema na mhe. Lema kwa ushindi kwenye kesi ya ubunge wa arusha. Nilidhani na leo mtasema ccm, nape na ikulu wameingilia kesi....mkishinda haki imetendeka, mkishindwa kuna mikono ya ikulu...! Ndo mnakua lakini, mkikua mtaacha mtajifunza majibu ya watu wazima kwenye mazingira kama hayo. Mdogo wangu lema umeiona arusha ilivyokuwa imetulia bila maandamano na kelele zisizo na msingi... Endeleza utulivu huu ambao naamini umejifunza kwa kipindi ulichokaa nje ya bunge....!
Kiongozi ni kuonyesha njia, onyesha njia ya maendeleo sio maandamano na fujo. Narudia kwa hili hongereni chadema,hongera lema!!!
TUNTEMEKE ni taasisi mkuu........... yaani 4 in 1