Hongera kwa wapendwa wetu hawa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera kwa wapendwa wetu hawa..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by afrodenzi, Jan 25, 2011.

 1. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kwa siku chache zilizopita nimekuwa nikifurahishwa sana na hawa wataalum wa
  mashahiri na Ngonjera (Old school way)

  kweli kama ni vipaji wanavyo na wamebarikiwa ..

  Ni vizuri kama tungewashukuru kwa kututoa stress za kazi na mara nyingine
  watulaza bila mawazo mazito..

  Hawa ndo ma GREAT THINKER wa POEM..
  Magulumangu
  Mzee Mwanakijiji

  Klorokwin
  Baba Ubaya

  Kashaijabutenge
  Miss Judith

  MwanajamiiOne
  Mohamed Shossi
  Michelle


  na hawa wafuatao wanajitoa/ jumuika kwa kasi ya ajabu
  Teamo ,Asprin, Kaizea

  Twa mshukuru Wise Lady kwa kutuburudisha kwa mstari mmoja mmoja hahah lol

  kama wataaka kuona mambo zaidi ya hawa Great Thinker nenda kwenye hizi thread
  1. Nimekipata Kigori, wenye wivu wajinyonge ..by Magulumangu
  2. Akili sana karibu kutenguliwa.. by Mzee Mwanakijiji..


  jamani kama kuna wengine naomba tuwa orodheshe hapo chini
  ili tuwape heshma zao au kama we ni mmoja wa hao mabigwa wa poem
  basi huu ndo muda wako wa ku shine.. .. asanteni

  peace
  AD.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mimi hapa!Ngoja nikuletee kitu kesho!!Hongera wote waliopo hapo juu kwa kushea vipaji vyao na sisi!
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Karibu sana mwaya nasubiria kwa hamu lol
  Hapa ndo mahali penyewe dear..
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Najaaa kwa kasi ya moto wa mabua!Wote hapo juu wakae chonjo coz kesho nachukua medali!
   
 5. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  namie niko hapa kuku pokea kwa vigele gele na vifijo..
  maana nafuatiliaga sana hicvyo lol
  twa kusubiri kwa hamu sana dear
  hahahah lol

  mmhh ngoja niache kukupa pressure bure hahahah lol
   
 6. Tabutupu

  Tabutupu JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 5,650
  Likes Received: 4,412
  Trophy Points: 280
  Afrodenzi, acha kunibania. Lakini poa!!!!!
  Ngoja nikaVutie kasi.
  Ze next report nitajitahidi niwe ndani ya 10 pale juu.

  Good analysis .
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhh samahini sana dear..
  mie sikuona dear..
  duuhh pole sana
  huwaga nafanya hizi poster za namna hii mara nyingi
  sinto kusahau dear samahani sana ..

  na pole sana :)
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kweli kabisa, anayestahili kupongezwa na apongezwe,
  Hongereni sana wapendwa.

  Teamo, Asprin na Kaizer nawaandalieni zawadi, mtakuja kuichukua pale kwa Baba Sunday.
   
 9. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,030
  Likes Received: 23,954
  Trophy Points: 280
  Aisee wiki hii nimepata bahati ya kufagiliwa basi mbichwa huo!

  Ngoja nirudi kitandani kukusanya nguvu ya ushairi!:kev:
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hongereni eeh!
  Kuna zawadi ya pipi kwa kila mmoja.
  Ngoja mimi nikajifunze kuchora vikatuni manake ushairi hadi nitoke hapa jf sio leo.
   
 11. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh great thinkerz great minds!Viva
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhhhh,
  Heri mimi sijasema!!

  Ahsante sana AD kwa kuwakumbuka waburudishaji...... Hongereni sana wote mnaotoa bila kinyongo!
   
 13. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ni mmoja wa wanaosubiri Mydear
   
 14. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  afro gal friend asante kwa compliment ingawa umenipendelea,,,lol!btw ur mcd by me
   
 15. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Afrodenzi ur right nadhani Husninyo anaweza chukua namba hapo!
   
 16. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli rafiki wiki hii Nuru Imekuangazia! hongera sana
   
 17. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Give love to receive love,
  Embrace friends you will live,
  When in love strieve,
  Afrodenzi, from your heart you are brave,

  THANK YOU.
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahah lol
  jitayarishe mwaya..
  lazima watakuja lol
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  babu babu babuuu
  babbu huyo babuuu
  babu huyo babu babu huyoo babu.
  ni kwaniii anaringaa
  aringiaa uzazi wake mwenyee..

  hahahah lol U deserve it babu Asprin..
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hahahah lol
  tuko wengi mwaya hata usijali...
  ndo maana nikawaita
  Great thinker lol
   
Loading...