Hongera kwa mkandarasi aliyejenga barabara ya kijenge juu arusha

chugastan

Senior Member
Dec 6, 2019
127
383
Mkandarasi aliyejenga barabara ya kijenge juu - ngulelo amefanya kazi nzuri,wakandarasi wa ndani sasa wanajitahidi nawashauri waungane waweze kupata miradi mikubwa zaidi,ila sisi wakazi wa kijenge tutashukuru zaidi kama barabara hiyo ikafika ngulelo kabisa mapema,tofauti na sasa,hongera sana HARI SINGH & SONS LTD
 
Nilijua ni barabara ya makongo juu! Alaa kumbe ni kijenge ashusha!
 
Mkandarasi aliyejenga barabara ya kijenge juu - ngulelo amefanya kazi nzuri,wakandarasi wa ndani sasa wanajitahidi nawashauri waungane waweze kupata miradi mikubwa zaidi,ila sisi wakazi wa kijenge tutashukuru zaidi kama barabara hiyo ikafika ngulelo kabisa mapema,tofauti na sasa,hongera sana HARI SINGH & SONS LTD
Tunaomba picha mkuu
 
Inaishia wapi?
 
Back
Top Bottom