bysange
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 4,456
- 1,565
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Bila shaka unanyemelewa na ugonjwa wa mtindio wa ubongo.