Hongera kwa jeshi la Polisi

Hongera kwa jeshi la Polisi

Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Nahisi una upungufu wa Ubongo kama sio kutoboka moyo ulipokuwa mdogo, you talk pumba Man!!
 
Unapongeza kwa sababu ya shekh Ponda ngoja mama yako anafuata halafu uje kutoa pongezi hapa.
 
Ushaona laana za kuku zinamfuata mwewe? Mchochezi hatumtaki Tanzania hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ushaona laana za kuku zinamfuata mwewe? Mchochezi hatumtaki Tanzania hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Wewe kwa lugha ya kigeni tunasema unasumbuliwa na "SHARWALA" na hii haitibiki mpaka upate jogoo la nguvu! Tena wale "kuchi".
Ndani ya wiki 1 tu! Utalainika.
Teh teh teh teh!
 
Mtu kama Ponda ni Mhaini wala dini Haijui! So nibora aondoke kabisa kwenye ramani ya Tanzania kwanza Sio Mtanzania anakuja kutuletea Tabu tu hapa! Na nibora wammalizie pale mhimbili. Polisi fanya kazi yenu msisikilize wahuni wanaomtetea sheik Ponda.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mi kwanza huyu mm yako nampa talaka!
Na wewe nguo za sikukuu sikununulii tena! Manake naona unakosa adabu.
Msaada wa mwisho ntakao kupa ni kukutafutia jogoo mmoja mwenye mjohoro km wa bata akushughulikie kidoooogo!
Huwenda ukawa na nidhamu ya kuongea!
Na ikishinika hilo itabidi nikutafutie Bata mzinga!
Hapo lzm ujinyee kukumdogo .
teh teh teh! Manake bata mzinga balaa!
 
Last edited by a moderator:
Unawapongeza kwa lipi? Kama ni issue ya ponda morogoro wamesema wao hawahusiki?
 
Yaani hoja za kuku (kuku mdogo/ kifaranga unaleta humu Jukwaani!!! au unataka kujaza tu jukwaa? uonekane umepost post nyingi. Kuna ndugu yangu alikalishwa kwenye chupa ya fanta akiwa uchi na hao polisi wako, subiri siku yako utakalishwa kwenye nondo afu utawasifia vyema.
 
Wamefanyakazi nzuri sana

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Yaani hoja za kuku (kuku mdogo/ kifaranga unaleta humu Jukwaani!!! au unataka kujaza tu jukwaa? uonekane umepost post nyingi. Kuna ndugu yangu alikalishwa kwenye chupa ya fanta akiwa uchi na hao polisi wako, subiri siku yako utakalishwa kwenye nondo afu utawasifia vyema.

Huyu kifaranga ni mtoto wa mtaani asiyemjua baba!
Sasa anatafuta jogoo kwa nguvu zote!
Na majogoo tumekuwa adimu siku hizi!
Teh teh te te teh
 
Ushaona laana za kuku zinamfuata mwewe? Mchochezi hatumtaki Tanzania hata kidogo

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Laana ya kuku itabaki kwa kuku! Na kwa sababu we ni kifaranga!
Lzm uondoke na kiarusi! Au saratani ya makalio!
 
Kuua innocent blood ndio kutuliza fujo? We kukumdogo vipi? Au unfikiria kikuku?
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Akili za kenge hizi
 
Mbona kunawatu wanapanic sana humu?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Umepatwa na mdondo wewe si bure

Teh teh teh! Tena mdondo wa masika huo!

We hujui kuwa kukumdogo ni mke wa afande!

Sasa asipomsifu mumewe amsifu nani!
We unawajua wale maafande hasa wale wakurya! Na washashi!
Usipomsifu hadharani! Usiku lazima akuimbishe mwimbo wa taifa!
Sasa hayo mapigo kukumdogo anayajua! Badala ya kumlaumu, mpeni pole tu!
 
Last edited by a moderator:
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Kauze mifuko ya rambo stand umekosa mawazo.
 
Mbona biashara nzuri sana tu hiyo na ndo naifanya hapa karibu na ubungo! Karibu ununue

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mnajifanya mnampenda sana ponda bt si mtu mzuri atatugawa watanzania kidini. Nashangaa anawaponda makafiri yaani wakrito na ndio wanaomtibia muhimbili au anajua ma dr wote muslim?
 
Back
Top Bottom