mi sikujua kuwa Mfu huwa nae anafikiri!
kwa hiyo? subiri wakati ukifika utaelewa tuu
mi sikujua kuwa Mfu huwa nae anafikiri!
Mnajifanya mnampenda sana ponda bt si mtu mzuri atatugawa watanzania kidini. Nashangaa anawaponda makafiri yaani wakrito na ndio wanaomtibia muhimbili au anajua ma dr wote muslim?
Minjagu imemwaga humu kuja kumwaga sumu!!! Eti hongera kwa kutuliza ghasia nchini!!! Ghasia zipi mlizotuliza wakati mauaji ya mchana kweupe yanatendeka na wahusika hawakamatwi, watu wanamwagiwa tindikali wahusika wanapeta mtaani, Watanzania wanauwawa kwa mabomu kule Arusha, Mtwara wanapigwa kutiwa vilema na kuchomewa mali zao mbali mbali, halafu unakuja hapa na kuandika ----- wako eti mnatuliza fujo!!! Hebu tutolee upuuzi wako hapa....msonyo mrefu mxchyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Kwakweli napenda kuwapa hongera kwa jeshi la polisi ninavyoweza kutuliza ghasia hapa nchini. Kumekuwa na tabia za watu kufanya vitu vinavyopindisha amani ya nchi. Hivyo polisi endeleeni na kazi nzuri mnayofanya.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
samahani huenda nikatumia lugha ambayo sii nzuri sana ila kikubwa tunatakiwa tukusamehe cos u dont know what u ar talking about.
Give us the vivid example for u to congrats police of tz am sure hujawahi kupatwa na mambo yafuatayo
*kupigwa mabumu
*ndugu ako kufungwa bila kosa
*kuuawa nk
hivi thinking capacity yako ikoje?jiulize kwa umakin haya yanayotokea jamani ndo uje useme hapa jf elewa hakuna amani wewe .think twice b4 hujapost mada hapa