Hongera Kitengo cha Propaganda cha Yanga

Walivaa ki mkakati, kama ulimsikiliza vizuri Feisal "wanasema nimevaa suti ya Mwakalebela, lakini freshi tu"
 
Hamna propaganda hapo machezaji yenu ni mashamba mashamba tu maana hata siku yenu ya mwananchi kuna limoja lilifungia suruali kamba ya kiatu na lilikuwa limevaa suti, afu sikia mkuu tuzo zile zisingeweza kuwa habari ya mjini kwa sababu wachezaji wa simba wamezizoea hakuna jipya yani.
 
Eti nasikia mchezaji bora ni John Bocco! 🤔 Nchi ina maajabu hii!!! Bora hata nilivyo amua kulala mapema.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom