Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,002
- 72,284
taratibu laazizi wala wasikuchoche hawa
Shangaaa mwingine eti atanihamisha jf mwingine nae sijui nimezoea bwanake humu roho imemtoka duu jf haiboi aseeee
taratibu laazizi wala wasikuchoche hawa
nimeshamtumia tayari
binafsi napenda kumpongeza huyu kamanda kwa kurudi vyema kwenye gemu na ngoma ya shukrani ila kubwa zaidi nampongeza kuweza kumaintain sauti yake ya kurap tangu miaka ile mpaka leo ipo vilevile. jamaa ni jembe hatari
we mtoto siku hizi umekuwa mkorofiiiiiiiiiiBora ,,,,,,
Ungemtumia sms
Shkamoooooo