Hongera Kikwete kwa kile unachopanga kuifanyia Tanzania

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2007
Messages
2,940
Points
1,500

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2007
2,940 1,500
There has never, and I dare predict, there will never again be such an opportune moment as now for the opposition parties to build their profiles on the back of the tottering ruling party.

But, alas, penye miti hakuna wajenzi.
..kalamu,

..upinzani una uhaba wa mambo makuu matatu ya muhimu.

..kwanza,viongozi.

..pili,fedha za kampeni na kujiimarisha.

..tatu,mvuto kwa viongozi bora watarajiwa!

..upinzani ukivuka hiki kizingiti,tanzania itakuwa sehemu nzuri zaidi.
 

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,472
Points
1,250

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,472 1,250
Field Marshall Es,
Wakuu tuombee mkutano wa NEC, ufanikiwe na kuwa productive kwa taifa, we are too negative about it sasa tutawawekea uchuro jamani,

Au tuweke wazi malengo ambayo tunaaamini yakifanyika huko Butiama mkutano utakuwa umefanikiwa, otherwise tuwaache CCM wafanya mkutano wao.

tupunguze hizi pre-negatives, tuwe positive angalau kidogo, I mean it is just too much!
Mkuu nitakukumbusha baada ya kikao!...
Tatizo la chama chenu CCM ni sawa na sikio la kufa..
Kumbuka tu haiwezekani kuwepo na matarajio ya kheri (positive) kwa mtu mwenye Ukimwi ambaye hakubali kwamba anaumwa! kisha maswala ya ngozi kwa ngozi kwake huona sifa na kudai kuwa nzi kufia kidondani sio haramu!... hapa mkuu unaweza vipi kuwa positive tunapozungumzia maswala ya ponya za HIV!?....
Mimi nasema kama NEC ama huyo JK wataweza kuruhusu ama kuwafungua mashtaka dhidi ya Mkapa, Yona, Lowassa, Karamagi, Meghji, Mramba, Rostam Aziz na list nzima ya mafisadi au hata nusu yao basi mkuu naahidi kuwapigia kura yangu CCM mwaka 2010...
Sometimes bob, Negative haiwezi badilika hata kwa kiapo yaani haiwezekani!
 

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
5,029
Points
1,500

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
5,029 1,500
Mimi ntacheka tu, nasubiri bao lingine la kisigino. But at the same time i can smell something like The end of History or The begining of the end. If this is what will be the outcome, then this will be a blessing in disguise. Lakini kuna uwezekano mkubwa kuwa baadhi ya watu wanaweza wasitoke huko! Au tunaweza kuona linaibuka dudu jipya kwa jina la CCM ambalo litakuwa tishio kubwa!
 

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
21,265
Points
2,000

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
21,265 2,000
Kama JK anataka kuingia kwenye historia abadilishe everything..aweke kizazi kipya chenye mawazo mapya ya kuimove nchi yetu forward!Ni wazi kwamba kuna kama ka stallmate flani hivi..hapa nchini na hata ndani ya CCM..utata ambao hauwezi kwisha kama mabadilko makubwa ndani ya CCM hayatafanyika!Kama wanaweza kusoma alama za nyakati then good!Not only for them..but for the whole country!Kabla hatujamuuliza kuhusu kuyapeleka majeshi yetu huko commoro ni budi tuanze kuwauliza viongozi wetu kuwa huwa kuna nini ndani ya hiyo mikataba wanayosaini kabla ya kupewa misaada!ie ule wa juzi tu wa millenium challenge wa Bush!Mabadiliko yafanyike na kuwepo na uwazi kwa wananchi inapokuja kwenye kusaini hiyo mikataba ili wananchi tujue kuwa ndani ya hiyo mikataba mna nini na nchi yetu inaelekea wapi!Mambo haya hayawezi kufanyika unless kuna true and a bottom up changes..changes ambazo ni lazima zifanikishwe na mtu kutoka CCM!Tusijidanganye kuwa tutapata mabadilko ya kweli kama viongozi wetu hawatabadilika, kutujumuisha na kutushirikisha sisi wananchi kuelekea kwenye mabadiliko hayo!Mabadiliko ambayo Kambona aliyapigania huko nyuma na ndiyo ambayo viongozi wetu wamelazimishwa kuyakumbatia na nchi za magharibi mara baada ya usoshalisti kubwagwa chini na mmarekani..ucapitalist ulishika hatamu officially!!Miaka ya mwisho ya 80 ambapo mwalimu aliyekuwa supporter wa usoshalisti alipogundua maji yamefika shingoni,mrusi amepigwa chini na sasa ni taimu ya kubwaga manyanga!Kwa kufanya hivyo akaona hawezi kubaki madarakani kwani ana msimamo na roho itamuuma sana kuona mambo haya yakitokea huku akilazimishwa kupiga masaini ya kuwarudisha wakoloni!Kwa kuhofia hilo..mwalimu akaanza maandalizi ya kukabidhi madaraka kwa mtu ambaye bado atakuwa akimsikiliza!Aliogopa nafsi hiyo inaweza kutumika vingine!kwa maoni yake na hata ya kwangu ni kuwa nchi iliingia kwenye uharamia halali! na kuanzia mwanzoni mwa muongo uliopita!matayarisho amabayo mwalimu aliyafanya kwa kumpachika Mwinyi!Na Mwinyi naye kwakuwa ni mzee wetu mswahili akaja na lugha ambayo ilionyesha excitment aliyokuwa nayo huku akijaribu namna nzuri ya kuwaeleza wananchi kuhusu siasa zetu mpya na mbadiliko ambayo sasa tunalazimika kuafuata!Akaja maelezo kwa wananchi kuwa kila kitu sasa ni RHUKSA!Mwalimu aliogopa na kuona kuwa Mzee Mwinyi badala ya kuwaelimisha wananchi ili wakae mkao wa kukabiliana na dhahma hiyo..yeye alilichukulia suala hilo kiuswahili swahili na kuwahabarisha watu kuwa wale chochote wanachotaka kula!Mwalimu akaona sasa kila mtu akila nini kitabaki?Akamuweka Mkapa ambaye naye akaanza kwa uvumilivu kidogo na kuja na mipango ya white paper!Baada ya mwalimu kufariki ndio sasa akatimiza ile sera ya mwinyi ya rhuksa!Kwa Mwalimu kuondoka kung'atuka ilkuwa ni ishara ya kugive up!Lakini ukweli unabaki palepale..kwamba viongozi wetu waliyapokea mabadilko hayo vibaya na kujigawia mali za umma bila huruma!Ilikuwa ni fungulia mbwa ambayo mwinyi alii brand "RHUKSA"..wakajidai kama hawataki hadi mwalimu alipokufa na kuanza kufakamia bila huruma hata chembe!NI WAKATI WA KUGUNDUA HILO NA KUACHA SIASA ZA KUIRUDISHA NCHI YETU MIKONONI MWA WAKOLONI HUKU VIONGOZI WETU WAKIWA KAMA VIBARAKA NA FACILITATORS WA UHARAMIA HUO BILA KUJALI HATMA YA TAIFA LETU!UBEPARI USIKUMBATIWE MOJA KWA MOJA!YACHUKULIWE YALE YALIYO POSITIVE AND THEN TUYAACHE YALE MABAYA..KAMA VILE UN EQUAL BUSINESS DEALS AND SIGNED CONTRACTS.Afrika haihitaji misaada bali inataka HAKI!Haki ya kujiamulia mambo na kujiletea maendelo//msaada tunaohitaji ni ujuzi zaidi ili kuendana na wakati!Tunazo rasilimali..na kama ikibidi tutapigana kuzilinda..tutaziondoa mikononi mwa wakoloni na vibaraka wao!Ninaamini kuna vichwa bongo ambavyo vimegoma kuwa corrupt!vichwa ambavyo vitaangalia yale mema yaliyoko kwenye capitalism na kuyajumuisha na yale mema yaliyoko kwenye socialism ili kuweza kupata balance nzuri yenye kulinufaisha taifa letu pamoja na wananchi wake wa kawaida!MUNGU IBARIKI TANZANIA..MUNGU IBARIKI AFRIKA!
Kama ujumbe wangu unavyo analyze hapo juu..woga wa CCM kupoteza mshiko wa hatamu umekuwa kama jinamizi linaloliangamiza taifa letu changa!Kwamba utaratibu wote wa kuwahudumia wananchi uko constructed based on solely establishing the party authorities!Janga ambalo tulilipata wakati wa ukoloni pale walipojenga barabara si kwasababu ya wananchi..bali kufanikisha usafirishaji wa rasilimali walizokuwa wakizipora toka nchini!Na CCM kufanya the same thing kwa kuclaim mambo mengine ambayo ni majukumu yao kwa wananchi regardless of the party!Ofcourse ni rahisi kuclaim kuwa ilani za chama ndio zinazotekelezwa pale serikali inapofanya maamuzi yake!Je watanzania ni lini tutafanya mabadiliko ili kutuwezesha kuiendeleza nchi yetu kwa pamoja?
 

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2007
Messages
5,194
Points
0

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2007
5,194 0
Field Marshall Es,

Mkuu nitakukumbusha baada ya kikao!...
Tatizo la chama chenu CCM ni sawa na sikio la kufa..
Kumbuka tu haiwezekani kuwepo na matarajio ya kheri (positive) kwa mtu mwenye Ukimwi ambaye hakubali kwamba anaumwa! kisha maswala ya ngozi kwa ngozi kwake huona sifa na kudai kuwa nzi kufia kidondani sio haramu!... hapa mkuu unaweza vipi kuwa positive tunapozungumzia maswala ya ponya za HIV!?....
Mimi nasema kama NEC ama huyo JK wataweza kuruhusu ama kuwafungua mashtaka dhidi ya Mkapa, Yona, Lowassa, Karamagi, Meghji, Mramba, Rostam Aziz na list nzima ya mafisadi au hata nusu yao basi mkuu naahidi kuwapigia kura yangu CCM mwaka 2010...
Sometimes bob, Negative haiwezi badilika hata kwa kiapo yaani haiwezekani!
Mkandara heshima mbele,

Nachelea kusema kuwa prediction yako imekuwa kweli kuliko mategemeo yangu. Kikwete amedissapoint na sijui atahitaji nini tena kufanya yale ambayo anaweza kufanya with a stroke of a pen in split of a second!

I am very dissapointed big tyme!
 

Kimbembe

Senior Member
Joined
May 14, 2006
Messages
122
Points
0

Kimbembe

Senior Member
Joined May 14, 2006
122 0
Mkandara heshima mbele,

Nachelea kusema kuwa prediction yako imekuwa kweli kuliko mategemeo yangu. Kikwete amedissapoint na sijui atahitaji nini tena kufanya yale ambayo anaweza kufanya with a stroke of a pen in split of a second!

I am very dissapointed big tyme!

Kwa mara ya kwanza JF walianza kuamini kwamba J would strike to the reallity lakini kaonyesha uzembe ule ambao wengi unawafanya waichukie CCM na wote wana CCM.CCM si watu wa kulia amini hawako serious na Nchibali CCM yao .Wote mmeona baadaye mtasema forum nzima ni Anti CCM .Mnaleta mchezo sana nyie .Mmevuna mlicho kipanda .Hope hamjapata pressure na kuanguka baada ya kushuhudia Usanii wa mwaka mzima huu.Jamaa anajiandaa na kwenda UK kupaiga domo huko .UK imekuwa kama Zanzibar maana CCM hawawataki waZenji fungueni masikio mtasikia zaidi .
 

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
21,265
Points
2,000

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
21,265 2,000
Ndugu zangu kuna jambo moja nilitaka niwakumbushe..kwamba historia mara zote hujirudia regardless ni wapi hapa duniani.Hii ni kwasababu watu mara zote hujifunza kutokana na historia.Kwa kifupi yawezekana Kikwete anadeal na hii issue kama vile serikali ya marekani ilivyowahi kudeal na mafisadi wa kwanza marekani John D.Rockerfella na Carnegie ambao waliugeuza ufisadi wao na kuamua kuwa ma"philanthropists" kuwasaidia wananchi kwa kutumia mabilioni ya dola walizowanyonya kuwasaidia masikini pamoja na kuanzisha foundations ambazo zilikuwa zikipiga vita umaskini na kusaidia mahitaji muhimu ya jamii.Na kwa ukweli ufisadi wao uligeuka na kuwa nguzo kuu ya maendeleo ya taifa la marekani na watu wake!Hili pia lilikuwa possible mara baada ya mafisadi wenyewe kuigeuza mioyo yao kiasi cha kwamba mema waliyowafanyia wamarekani yaliyazidi yale mabaya!We then should therefore ask ourselves..Is our president following the same route of history?And if so can he be straight forward with the people?Nilianza kuhisi serikali imeamua kuchukua mkondo kama ule wa kina John D.Rockefeller na Carnegie(matajiri waliokuwa na ushawishi mkubwa miongoni mwa watawala wa marekani, enzi hizo viongozi wakiteuliwa kama ilivyo kwa wakuu wetu wa mikoa)pale waziri mstaafu Mh Mama Meghji alipokuwa akidai huko bungeni wakati sakata la ufisadi likiwa moto.. kuwa suala muhimu at that time ni kuhakikisha kwamba makampuni hayo yanalipa kodi!Na pia mara baada ya vikao vya CCM huko Butima ambapo Mh Rais kama mwenyekiti wa chama tawala aliweka wazi kuwa mafisadi hao hawatatengwa!Hapo nilianza kuhisi neutrelization inaanza..kwamba haya makampuni ni halali na bado yana mchango kwa taifa kwani yanalipa kodi!Swali hapo ni kuwa kama kodi watayolipa ina exceed ile amount waliyoliibia taifa letu maskini na tegemezi!Bila kujali kwamba uhujumu huo ni sawa na kujaribu kuinyonya maiti damu!Sasa ili wananchi tusianze vita kama vya mkoloni myonyaji..tunataka tuanze kuona wale wote walioyakamata hayo mafwedha wakiwajibika kwa jamii.. kutuwekea wazi kuwa wananchi justice yao itakuwa paid kwa kuinvest kwenye needs zao!Kwanini viongozi wa nchi masikini waishi kitajiri?Kikwete pls!You said you're the man of the people!Where are you?Are on the side of the people?Mh picha nyingi umepiga na watu masikini wakina mama na watoto ambao maisha yao hayatabiriki siku baada ya siku..walikupigia kura!First lady yeye anafanya kweli..kwani ameonyesha kuwa ni nguzo kuu ya historia ya utawala wako!Now its your part!Are you going to be on the people's side? even though they're naive,uneducated and who dont even know their rights?Can you pls apply the natural born leadership character?the character that you will never allow deep class divions?when is the govt going to take responsiblity?AND I MEAN TRUE RESPONSIBILITY!THE MONEY SHOULD NOW GO BUILD SCHOOLS,HOSPITALS,PALYGROUNDS,PROVIDE CLEAN WATER CONSTRUCT ROADS!THATS THE JUSTICE FOR THE POOR!The whole plan would provide jobs,up the living conditions hence stimulate the economy!Its time to convert the negative to positive and win back "The people's minds"
Wahesniwa tunapoliangalia swala kama ili ni lazima tu apply "empathy"..which is the ability to put yourself on someone's else shoes!Tua assume kwamba sasa sisi ndio Mh Kikwete.Kusemakweli njia sahihi ya kutatua tatizi hilo ni kufanya mabadiliko makubwa ambayo ofcourse yangekiyumbisha cham..na pia kumtenga na watu wote ambao bado anategemea msaada na uchangiaji wao kwenye uongozi either kwenye chama ama taifa!Kwa misingi hiyo basi ni wazi Mh Rais alikuwa na bado yuko kwenye wakati mgumu!La muhimu ni kuwaconvince wapinzani na wananchi kuwa sasa ni wakati wa kuja pamoja na KURECONCILE!
 

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
21,265
Points
2,000

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
21,265 2,000
Field Marshall Es,

Mkuu nitakukumbusha baada ya kikao!...
Tatizo la chama chenu CCM ni sawa na sikio la kufa..
Kumbuka tu haiwezekani kuwepo na matarajio ya kheri (positive) kwa mtu mwenye Ukimwi ambaye hakubali kwamba anaumwa! kisha maswala ya ngozi kwa ngozi kwake huona sifa na kudai kuwa nzi kufia kidondani sio haramu!... hapa mkuu unaweza vipi kuwa positive tunapozungumzia maswala ya ponya za HIV!?....
Mimi nasema kama NEC ama huyo JK wataweza kuruhusu ama kuwafungua mashtaka dhidi ya Mkapa, Yona, Lowassa, Karamagi, Meghji, Mramba, Rostam Aziz na list nzima ya mafisadi au hata nusu yao basi mkuu naahidi kuwapigia kura yangu CCM mwaka 2010...
Sometimes bob, Negative haiwezi badilika hata kwa kiapo yaani haiwezekani!
I bet you they will neutralize the issue and try and win people's mind by investing the so returned money on social needs in order to establish the rulling part amongst the poor who due to their needs can easily be won!Psychologically this is whats so called "CONDITIONED EMOTION"They will vote for those who provided food for them for its their main need to survive!Where CCM will eventually claim the social developments achieved!MARK MA WORDS!The question remain is how is the opposition going to deal with the situation assuming this is the fact!
 

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,477
Points
2,000

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,477 2,000
Frankly sepaking serikali yote inanuka ufisadi ukianzia kwa raisi mpaka watu wa chini.

Ila nampa hongera kwa kuamua kukivaria njuga suala ilo though yuko selective na izo deal zenyewe pamoja na watu wa kudeal nao.

Game theory suala la Comoro mkuu wa kambia ya upinzani alilitolea maelezo BBC kuwa kamati husika ya bunge ilikutana na wakawa brief ata Zito alikuwepo na wengineo.

Kamati ikaridhia huo uamuzi baada ya kuanalyse gharama na impact yake.Suala la bunge kukonvene ili kuridhia huo uamuzi halikuwa na haja na it could cost us much kuliko walivyoconvene kamati husika.Otherwise Bunge lingekuwa on-session then it would have been tabled for discusion.

On the other hand vita yenyewe walisha iunderestimate bse wanaenda kupigana na watu ambao hawakuwa that much strong kuresist,ingelikuwa Darfur ata mimi ningepinga.

Cha msingi JK. He has to embark on a u-turn approach bse CCM na serkali yake inanuka ufisadi na tena inambidi awe jasiri as ufisadi umekuwa ni sehemu ya maisha ya viongozi wengi.

Kama ni maadui awatengeze kwa kupambana na ufisadi but atleast atapata marafiki wengi ambao ni watz.
 

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,792
Points
2,000

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,792 2,000
I am glad mimi nilimshtukia tangu 1995 nikasema hiki kijamaa hakifai kuwa rais.Nikawaambia watu throughout the campaigns, watu wakawa kwenye euphoria na Kikwetemania.Kuna mchizi mmoja akamkata mtama huko kwa wasukuma nikaona kumbe bongo mpaka bush kuna watu wanashtukia dili (yule mchizi prophetic, sasa watanzania wataelewa umuhimu wake natafuta jina lake)

I hate to say I told you so.And as much as I hate to be a doomsday prophet, nothing is going to change under Kikwete.Maybe for the worse, but nothing for the better.
Duh!
Watu walimshtukia mapema muungwana.
Mkuu Pundit popote ulipo,unabii wako unatimia.
 

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2006
Messages
4,166
Points
1,225

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2006
4,166 1,225
Unajua sio kua hamna mazuri ila mabaya yamefunika mazuri. Ushkaji nadhani ndo tatizo kubwa.

Uwajibikaji imekua kitendawili. Takukuru wanafanya maigizo na kesi zisizo na misingi. Usanii mwingi. Nahisi Prez amezungukwa na wanaomdanganya!
 

Forum statistics

Threads 1,381,743
Members 526,189
Posts 33,810,726
Top