Hongera Kamanda Mbowe!!

Hongera Kamanda Mbowe!!

Hakika nami nakupa pongezi za dhati ya moyo wangu mbowe hekima, busara, na political torelance, naona mungu amekuzidishia hongera kamanda. Acha wanaokudis waendelee maana hawasikii wala hawaoni lakini watanzania wengi na wazalendo tunathamin kazi ya mikono yako kwamba ni kubwa na wastahili pongezi.
 
Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.

Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.

He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.

He's smart, he's political malefactor.
1551621_406056539497867_1576620671_a.jpg
 
Habari wana JF..
Leo nimeona si vibaya kupitia Jukwaa hili,nikizitoa Pongezi zangu kwa Mwenyekiti aliyepata Mafanikio makubwa (Pengine kuliko wenyeviti woote wa Vyama vya Upinzani)
Katika uongozi wake..
Pongezi zangu nazituma kwako kwa Ukomavu wako na uvumilivu wako mkuu ..
Umerushiwa makombira Makubwa sana,lakini haukujishughulisha kujibu.
Hii inaonyesha ni kwakiasi gani ulivyo na Hekima,Busara na Ukomavu wa hali ya juu katika medani hii ya Siasa,Hasa Siasa za Tanzania yetu,zilizojaa Chuki,Uhasama na kila aina ya Vituko..
Hongera Kamanda..
Wana CDM tunaimani na wewe.
Mungu Ibariki CDM..

KWA NIABA YA FAMILIA YANGU NAKUSHUKURU KWA KUUTAMBUA MCHANGO WA KAMANDA MBOWE , pamoja UTAJIRI ALIONAO LAKINI HAKUACHA KUWATETEA MASIKINI WA NCHI HII WALIOJAZANA HADI LUMUMBA !
 
Hongera sana Kamanda Mbowe,
Chadema tunakuamini na tunakukubali.
Watanzania pia na Dunia kwa ujumla wanaukubali uongozi wako shupavu na hodari.
 
CDM imefika hapa ilipo sababu Mbowe hahongeki kwa gharama yoyote ile na DR. Slaa hahongeki kwa gharama yoyote ile - mbinu za kuwafitinisha hawa viongozi zimeshakwama kabisa na ndiyo maana pale Lumumba wameasisi kitengo cha propaganda za kuwachafua!!

Watanzania wanalijua hilo kwamba nani umwamini nchi hii zaidi ya DR. Slaa? nani umwamini nchi hii zaidi ya Mbowe?
 
huu uzi nikiongeza neno ntaharibu, ila ukweli mtupu. Asante Mbowe kwa kuleta maana halisi ya siasa na uwajibikaji...nakumbuka jamaa mmoja alikuwa mashuhuri,aliingia kwenye mdahalo na wewe akakutukana sana eti hamna lolote , eti yeye anajulikana sana maana alikuwa KUB, kiukweli tangu ulipounda ile kambi rasmi na ukawa KUB , yule kaka mpaka leo haijulikana yuko wapi au anashughulika na nini, namkumbuka kwa majina mawili tu Hamad Rashid...Mbowe umeigeuza Tz kuwa nchi inayoelekea kupata Uhuru, naomba kukiri bila wewe na jk, upinzani wa nchi huu ungebaki wa ajabu, ule wa ccm B. Asante sana.
 
Huwa naamini kuwa hakuna mtu anaweza kubalika kwa kila mtu lakini tunapongezana kwa yaliyoonekana. No one is perffect competely. Hata mtu anaweza kumchukia mzari wake. Naamini hata MWIGU anapendwa na familia yake japo kidogo. HONGERA SANA MTOA POST.
 
Asifiwe nani huyu mbowe anaetuwiya cdm yetu mtowamada naona umechanganyikiwa kabisa mbowe busara hana ukitaka kujuwa hana busara angalia alivyo ingiza cdm kwenye matatizo ya uongozi kwa tamaa ya madaraka kafie barini ww na mbowe wako
 
We dady 1000 una matatizo ya akili. Kama unashindwa kuelewa uzandiki wa ccm dhidi ya chadema tena kwa kuwatumia wana chadema basi zitakuwa hazikutoshi.
 
mbowe ni kamanda kweli, anakula luzuku zote za chama na bado anaambulia pongez, anakiuzia chama sklepa za magar bado pongez tu, anakula starehe na na dadaz kwa expenses ya fedha za selikar ndo kwanza watu wanasema huleeee! Kweli limbwata mbowe alilowalisha wana cdm ni noma

Kama kweli ni limbwata basi atakuwa amewalisha na magamba. Maana anakula na kustarehe kwa pesa za serikali lakini bado anapeta tu!! Naona katulisha Watanzania wote hilo limbwata!!
 

ha ha ha duuh inahitaji ujasiri wa simba kutetea uovu....anatafuna ruzuku bila aibu na bila kukugawia hata mia then unamtetea?

Hebu saidia kutwambia Ruzuku ya CCM ambayo ni karibu mara tatu ya CDM inatumikaje. Tupe kwa kifupi tu.

Tiba
 
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.

Asilimia kubwa wana magamba ni nonsense sa mwigulu kwa lipi unajua usiwe mshabik mavi,...kweli watz baadhi mpompo tu hata kujitambua mnashindwa
 
Asifiwe nani huyu mbowe anaetuwiya cdm yetu mtowamada naona umechanganyikiwa kabisa mbowe busara hana ukitaka kujuwa hana busara angalia alivyo ingiza cdm kwenye matatizo ya uongozi kwa tamaa ya madaraka kafie barini ww na mbowe wako

Acha umafiki ww.. Tupime toka awe Mwenyekiti hadi sasa CDM iko vp?
 
We dady 1000 una matatizo ya akili. Kama unashindwa kuelewa uzandiki wa ccm dhidi ya chadema tena kwa kuwatumia wana chadema basi zitakuwa hazikutoshi.

Kuna msemo jamaa mmoja anaitwa Eddo Kumwembe anapenda kuutumia,huwa anasema"KUNA WATU MAISHA YAO BILA UNAFKI HAYAENDI" nafikiri hii inakufaa sana wewe!
 
Mkuu BUCHANAGANDE Samahani nime reply kitu si sahihi kwako..target ilikuwa ni huyo dady 1000, makosa kidogo yamefanyika!
 
Back
Top Bottom