unajua ni bora akuzidi akili mchaga anafahamika kuliko akuzidi akili ------ au mfipa wa sumbawanga hukooo hebu fikiria mbona CCM waziri mkuu wenu alikataa gari akasema likauzwe kumbe aliona halimtoshi anataka kubwa lake angalia gari analotembelea saizi mbona una kumbukumbu za upepo kijana hebu kumbuka mbunge anavyokuja kuomba kura kwako halaf anaingia madarakan anakupandshia gharama za umeme na gesi halafu anakuambia "kama huwezi gharama tumia kibatari" usivyo na akili baada ya kujadili mambo yanayokugusa moja kwa moja unajadili hoja za chama cha upinzani we kweli tahaira unatumia makalio kufikiri. mbona hamuangalii gharama alizozitumia Mbowe kukifkisha hapo chama kilipofika babaako si ingekuwa familia angekuwa kashaitelekeza