Habari wana JF..
Leo nimeona si vibaya kupitia Jukwaa hili,nikizitoa Pongezi zangu kwa Mwenyekiti aliyepata Mafanikio makubwa (Pengine kuliko wenyeviti woote wa Vyama vya Upinzani)
Katika uongozi wake..
Pongezi zangu nazituma kwako kwa Ukomavu wako na uvumilivu wako mkuu ..
Umerushiwa makombira Makubwa sana,lakini haukujishughulisha kujibu.
Hii inaonyesha ni kwakiasi gani ulivyo na Hekima,Busara na Ukomavu wa hali ya juu katika medani hii ya Siasa,Hasa Siasa za Tanzania yetu,zilizojaa Chuki,Uhasama na kila aina ya Vituko..
Hongera Kamanda..
Wana CDM tunaimani na wewe.
Mungu Ibariki CDM..
Mbowe sio mwadilifu kwani amewageuza wabunge wa viti maalumu kuwa vimada wake
Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.
Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.
He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.
He's smart, he's political malefactor.
Bavicha kweli kama si gongo mnavuta bangi, si ajabu kwenu. Mtu mwovu kama shetani jekundu amabaye ana kila aina ya ufisadi, aliyesema narudisha gari la serikali akalirudisha mchana akaenda kulichukua tena usiku na bila aibu anatembea nalo mchana hata hamumwulizi. KWELI NYIE PAMBAFU KABISA, anachukua hela kwa RA halafu anakuja kwenye cha anakikopesha hela hile kwa riba nyie mmetoa macho kama mazuzu, anakiuzia chama magari mabovu eti M4Chagani mnashangilia kama hamnazo (uliza ziko wapi hizo scrap sasa, maana hazionekani mtaani tena), anakula michango yote ya nyie mbwiga mnayotoa mikutanoni akijifanya chama ni amskini akisema pp nyie mnatoa magige kama vichwachwa. Kawaroga kwa kuzika mbuzi watatu au mkoje nyie nyambafu. Nawasikitia kwa kutojitambuana mkija kujitambua yuko Dubai kama si na Joyce Mkya ni viti maalum yeyote cdm. Ilisemwa anawachanganya hata wenzake lakini wanamwamini, huoni kwamba kawazidi akili m.ch.a.ga./ Kalaghabao
Mtu ukiwa kibaraka kwa muda mrefu inafikia wakati unakuwa roboti mpaka kufikiriwa unasaidiwa. Tumieni akili acheni kuwa na ushabiki wa kijinga mpaka mnapoteza uwezo wa kufikiria. Hivi leo ukiambiwa utoe ushahidi kuwa Mbowe anapokea mshahara kutoka kwa Rostam utaweza kuutoa. Hivi Mbowe ndiye anayeweza kupokea mshahara kutoka kwa Rostam, ana shida gani ya fedha kiasi hicho? Nyie vibaraka wa Zito, mfikirie msidanganywe kama kondoo.Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.
Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.
He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.
He's smart, he's political malefactor.
Mie nampa hongera ZZK kwa kushinda kesi.
Yamepoteana magamba MBOWE ni jembe mkisikia mbowe matumbo ya kuhara yanawabana
Bavicha kweli kama si gongo mnavuta bangi, si ajabu kwenu. Mtu mwovu kama shetani jekundu amabaye ana kila aina ya ufisadi, aliyesema narudisha gari la serikali akalirudisha mchana akaenda kulichukua tena usiku na bila aibu anatembea nalo mchana hata hamumwulizi. KWELI NYIE PAMBAFU KABISA, anachukua hela kwa RA halafu anakuja kwenye cha anakikopesha hela hile kwa riba nyie mmetoa macho kama mazuzu, anakiuzia chama magari mabovu eti M4Chagani mnashangilia kama hamnazo (uliza ziko wapi hizo scrap sasa, maana hazionekani mtaani tena), anakula michango yote ya nyie mbwiga mnayotoa mikutanoni akijifanya chama ni amskini akisema pp nyie mnatoa magige kama vichwachwa. Kawaroga kwa kuzika mbuzi watatu au mkoje nyie nyambafu. Nawasikitia kwa kutojitambuana mkija kujitambua yuko Dubai kama si na Joyce Mkya ni viti maalum yeyote cdm. Ilisemwa anawachanganya hata wenzake lakini wanamwamini, huoni kwamba kawazidi akili m.ch.a.ga./ Kalaghabao
Mbowe aatumia misukule yake kama Tumaine Makene na Lissu kushambulia wabaya wake.
Hawezi kusimama mwenyewe kupambana kwasababu ana mapungufu mengi sana.
Pongezi hizo bora ungempatia Mwigulu Nchemba kwa kuteuliwa kuwa Naibu Waziri, kuliko kung'ang'ania kumsifu mtu ambaye hastahili sifa hizo hata kidogo; Kwanza yuko kimya kwa sababu Elimu yake ni ndogo hivyo hawezi kupata la kujibu vinginevyo atatukana na kuishia Mahakamani, pili anamadhambi makubwa sana kama vile kununua majumba makubwa Dubai na Marekani kwa fedha za Ruzuku yaani fedha za Chama, pia kwenda kutumia fedha ya walala hoi kustarehe na bi mdogo huku yeye ni cristian. Jamani Muogopeni Mungu.

Una wivu wa kike,na kama sikosei we ni mtalaka wa fulani.
hebu angalia ulichokiandika hata wewe ungekubali mchana uchafuliwe na mtu huyo huyo usiku umpe pesa kwa ajili ya kukuchafua?? kwel ukiamini sana unaacha kufikiri we umeweka Uccm ni dini yako ndio maana unaamini ujinga. kukaa kimya kwa Mbowe kuna maana sana hata waswahili husema kukaa kimya ni jibu la lenu wajinga. Mbowe ana akili sana nyie endeleeni kutukana ye anawapa maarifa watanzania 2015 ndio mtaelewa Mbowe ana akili au hana