IBRAHIM KAUKI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2014
- 536
- 210
Mwigulu amefanya nn zaid ya mbowe? Mwigul n gamba tu mbow ndo kamanda wake atmnyoa hyo midevu
Unajua kwa nini melody hii imembuma kwa s ababu watu tumekuuliza mara zote na hujajibu tunauliza tena wewe unamfungulia zipu mbowe au wewe unamtaka akutongeze mwanamke jaribu kuwa na nidhamu
Umewaharibia usiku lumumba buku 7 FC!
Uko sawa mkuu.. Niliwahi kufanya simple rsch . Kwa hawa Machinga.. aiseeee 60% wanaishi kwenye Majumba yao,na wanasomesha na Elimu yao ni STD 7...
hilo halina ubishi kiongozi wangu waambie waje waonevijana wa kariakoo wanavyomiliki mali za pesa nyingi wakati alijitahidi sana kamaliza form four,mkuu upo ndugu yangu?
HHHK...Mkuu upo?
Nimeona Mkuu.. Mimi nimetoa Pongezi kwa Kamanda ,kwani kwa uongozi wake na Uimara wake,leo tunaona ni kwajinc gani CCM hakulaliki,hakuiviki.... Mda wote mawazo kwa Sla,Mbowe
Nipo kiongozi wangu nilisafiri kidogo ila nimesharejea kuendeleza hili gurudumu la maisha
Watakuja speed na Mitusi hapo..wee subiri!!!
ha haha kamanda mbona hujiamini? ..mbowe amechafuka sana hasafishiki hata kwa jikl
mkuu MwanaDiwani
mleta hoja ana pongezi za kweli.... ni kiongozi shupavu kwa kutoroshea watu dubai....kutafuta mapato ya chama bila aibu....kutunza na kudumisha ukabila zaidi sana kulea wavuta bangi wazinzi na wauwaji
mkuu MwanaDiwani
mleta hoja ana pongezi za kweli.... ni kiongozi shupavu kwa kutoroshea watu dubai....kutafuta mapato ya chama bila aibu....kutunza na kudumisha ukabila zaidi sana kulea wavuta bangi wazinzi na wauwaji
Ni kweli anahitaji pongezi za dhati kabisa kwa kuweza kuficha ufisadi anaoendelea kuufanya ndani ta CHADEMA na pia wizi wa pesa za watanzania kupitia mkono wa kada Rostam Aziz ambaye kwa njia ya kisanii, Mbowe hupanda majukwaani mchana na kumuita fisadi lakini usiku huenda nyumbani kwa Rostam Aziz kupewa mshahara wake.
Kufanya kazi ya 'double agent' lazima uwe na uwezo kama wa Mbowe.
He's having double income and getting richer every second kwa maana nyingine, anajilipa mamilioni CHADEMA halafu anaenda tena kulipwa mamilioni ta pesa na Rostam Aziz.
He's smart, he's political malefactor.
hao wote uliowataja wako ndani ya CCM. Hv kwa nn hampendi kuweka ukweli uwe nuru? Personal issues hazina nafasi kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe ila kwa ww buku7 unazijengea hoja. Hv kwenu hakuna wazee wakupe maadili?
kama wenyewe wana chadema wamemkubali hata mkijaza post laki humu ndan hawa jamaa wataendelea kumkubali tu.,wanachama wa chadema ni BABA LAO,,
Mbowe sio mwadilifu kwani amewageuza wabunge wa viti maalumu kuwa vimada wake
Ni kweli chadema ni msingiNaona ccm wamevamia huku ngoja tuwaachie waendelee kuchangia sie turudi site tukamalizie CDM ni msingi
Alutacontinua!
Habari wana JF..
Leo nimeona si vibaya kupitia Jukwaa hili,nikizitoa Pongezi zangu kwa Mwenyekiti aliyepata Mafanikio makubwa (Pengine kuliko wenyeviti woote wa Vyama vya Upinzani)
Katika uongozi wake..
Pongezi zangu nazituma kwako kwa Ukomavu wako na uvumilivu wako mkuu ..
Umerushiwa makombira Makubwa sana,lakini haukujishughulisha kujibu.
Hii inaonyesha ni kwakiasi gani ulivyo na Hekima,Busara na Ukomavu wa hali ya juu katika medani hii ya Siasa,Hasa Siasa za Tanzania yetu,zilizojaa Chuki,Uhasama na kila aina ya Vituko..
Hongera Kamanda..
Wana CDM tunaimani na wewe.
Mungu Ibariki CDM..
Mbowe huyu aliyevuta hela toka kwa NM ....ni .salk