Hongera JWTZ kwa kujitenga na ushabiki wa vyama wakati wa uchaguzi

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
302
Wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, aliyekuwa Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Jenerali Abdulahman Shimbo aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuvitaka vyama vya siasa kutokugomea matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kulinda amani ya nchi.

Kauli ile ya Shimbo ilichukuliwa na wengi kama ya kisiasa na ya kibaguzi ambayo ililenga kuvididimiza vyama vingine na kuibeba CCM.

Ni ukweli usiopingika leo jeshi letu chini ya Jenerali Davis Mwamunyange kwa mara ya kwanza limekataa kujiingiza kwenye siasa za ushabiki wa vyama.

Ni matumaini yangu katika kipindi kilichobaki Jeshi la polisi chini ya IGP Mangu litatenda haki na kujitenga na ushabiki wa vyama kama ndugu zao wa JWTZ.

Asante Mwamunyange kwa mapenzi uliyonayo kwa nchi yako na hongera kwa JWTZ.
 
Subirini dogo yule kichaa mvuta bangi wa arusha afungwe kwnza, yaani ningekuwa mimi namhuku kumnyonga tu, maana wazushi wa ukawa ni watu wabaya sana, wanahamu ya kumwaga damu nyumbu sana
 
Ndo maana hukuwa wewe! Acha kuharibu uzi wa mwenzako, chagia mada husika acha usengerema, K mbichi wewe.
 
Davsi Mwamunyange ni msomi hawezi kuburuzwa kirahisi. Hata polisi limejaa wasomi siku hizi, usitarajie mambo ya ajabu ya kupingwa mabomu.

Utshangaa matokeo ya uchaguzi huu.
 
Subirini dogo yule kichaa mvuta bangi wa arusha afungwe kwnza, yaani ningekuwa mimi namhuku kumnyonga tu, maana wazushi wa ukawa ni watu wabaya sana, wanahamu ya kumwaga damu nyumbu sana

Elimu elimu elimu ,hukumu ya konyonga mtu unafikiria ni kama kuamka asubuhi huku mikono ikiwa imeshika sehemu za siri ???
 
Kwa taarifa rasmi katika biashara ya siasa hakuna kumuamini mkuu yeyote yule ,hivi mnaijua siasa au ndio mmo mumo tu ? Mnajuaje kama na wao ni waumini wa upande fulani wa chama cha siasa ? Kura zitalindwa na wanachama wenyewe kwa njia wanazozijua wao na kuziamini ,hivi hawa mapolisi si ndio waliokimbia na masnadku ya kura kule Pemba ,mwaka huu maneno ya njiani yatabakia njiani haondoki mtu kwenye kituo kama kuzama na kutota basi kutaanzia hapo !
 
Subirini dogo yule kichaa mvuta bangi wa arusha afungwe kwnza, yaani ningekuwa mimi namhuku kumnyonga tu, maana wazushi wa ukawa ni watu wabaya sana, wanahamu ya kumwaga damu nyumbu sana

"Akili yako bora ya mbwa ambaye unaweza ku-mtrain akakulinda, sio matope uliyonayo kichwani mwako, unazijua siri za nchi wewe au unaumwa kisonono cha ubongo?
 
Kwa taarifa rasmi katika biashara ya siasa hakuna kumuamini mkuu yeyote yule ,hivi mnaijua siasa au ndio mmo mumo tu ? Mnajuaje kama na wao ni waumini wa upande fulani wa chama cha siasa ? Kura zitalindwa na wanachama wenyewe kwa njia wanazozijua wao na kuziamini ,hivi hawa mapolisi si ndio waliokimbia na masnadku ya kura kule Pemba ,mwaka huu maneno ya njiani yatabakia njiani haondoki mtu kwenye kituo kama kuzama na kutota basi kutaanzia hapo !

Dah!kama vile nakuona kamanda ulivoandaa tape measure yako kwa ajili ya kupima umbali wa mita 200 ukae ili ulinde kura!!
 
Subirini dogo yule kichaa mvuta bangi wa arusha afungwe kwnza, yaani ningekuwa mimi namhuku kumnyonga tu, maana wazushi wa ukawa ni watu wabaya sana, wanahamu ya kumwaga damu nyumbu sana

Umeshindwa kumnyonga yule mwenyekiti wako fisadi
 
Tatizo lako mleta maada hii hujui kitu, Shimbo kipindi kile alikuwa amekaimu madaraka ya mkuu wa majeshi tena huyu huyu Mwamnyange, so alikuwa na kofia mbili kipindi hicho;
1. Kaimu Mkuu wa Majeshi(Mkuu wa Majeshi maana mkubwa wake alikuwa nje ya nchi kikazi).
2. Mwenyekiti wa vyombo vya ulinzi na Usalama, na ndo maana mkuu wa polisi alikuwepo, mkurugenzi wa usalama taifa alikuwepo, mkui wa magereza alikuwepo(wakuu wote wa vyombo na usalama walikuwepo)nk.
So, alikuwa anafanya kazi na alitoa tamko hilo la kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu. Sasa nini kosa yake? Ucha umburura huo ni wajibu wake kikatiba(Mkuu wa Majeshi/mwenyekiti wa vyombo vya usalama)kuhakikisha amani na utulivu nchini.
 
Wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, aliyekuwa Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Jenerali Abdulahman Shimbo aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuvitaka vyama vya siasa kutokugomea matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kulinda amani ya nchi.

Kauli ile ya Shimbo ilichukuliwa na wengi kama ya kisiasa na ya kibaguzi ambayo ililenga kuvididimiza vyama vingine na kuibeba CCM.

Ni ukweli usiopingika leo jeshi letu chini ya Jenerali Davis Mwamunyange kwa mara ya kwanza limekataa kujiingiza kwenye siasa za ushabiki wa vyama.

Ni matumaini yangu katika kipindi kilichobaki Jeshi la polisi chini ya IGP Mangu litatenda haki na kujitenga na ushabiki wa vyama kama ndugu zao wa JWTZ.

Asante Mwamunyange kwa mapenzi uliyonayo kwa nchi yako na hongera kwa JWTZ.

Ukawa si wamesema huyu MTU amekufa kwa sumu amefufuka mini?
 
Back
Top Bottom