Hongera Jerry muro utumishi wako umetukuka

Two dimension array

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,593
2,380
Ni muda mfupi tu tangu umeteuriwa kuwa mkuu wa wiraya ya Arumeru na kazi yako kubwa mbali na maendeleo unayoyafanya ni kuhakikisha jimbo la Arumeru linakua la CCM.

Deal done! Kazi haikuwa rahisi ila now unastahili kupata ukuu wa mkoa umeonyesha unaweza kama mnyeti alivyofanya
IMG_20190314_193307.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda mfupi tu tangu umeteuriwa kuwa mkuu wa wiraya ya Arumeru na kazi yako kubwa mbali na maendeleo unayoyafanya ni kuhakikisha jimbo la Arumeru linakua la CCM.

Deal done! Kazi haikuwa rahisi ila now unastahili kupata ukuu wa mkoa umeonyesha unaweza kama mnyeti alivyofanyaView attachment 1045702

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja
Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!. - JamiiForums
P
 
Huyo mwenye mvi ninan au ndiye dalali aliyefanikiwa kufikia dau la Joshua nassari.
 
Back
Top Bottom