Hongera Jerry Muro umeweza kilichowashinda watangulizi wako

LENGIO

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
1,096
508
Haitapendeza kupita bila kumpongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro,kwa kupambana na kuhakikisha Dampo la maji ya chai linafukiwa,leo nikuwa natokea moshi nimeona greda linafukia dampo hilo ambalo ni kero kwa abiria na watali wanaopita barabara ya Moshi arusha.Hakuna mkuu wa wilaya na Mkoa ambaye amewahi kuwa Arumeru ambaye hajalalamikiwa kuhusu hili dampo.Kwa hili Muro nakupongeza sanaa umeonyesha Muheshimiwa hajabahatisha kukupa hicho Cheo.
 
Hilo dampo kuna siku nimepita hapo na wageni lilikuwa linatoa moshi na harufu mbaya.Linatatia aibu mji wa kitali.
Haitapendeza kupita bila kumpongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro,kwa kupambana na kuhakikisha Dampo la maji ya chai linafukiwa,leo nikuwa natokea moshi nimeona greda linafukia dampo hilo ambalo ni kero kwa abiria na watali wanaopita barabara ya Moshi arusha.Hakuna mkuu wa wilaya na Mkoa ambaye amewahi kuwa Arumeru ambaye hajalalamikiwa kuhusu hili dampo.Kwa hili Muro nakupongeza sanaa umeonyesha Muheshimiwa hajabahatisha kukupa hicho Cheo.
 
Safi sana, naomba picha
Picha hizo Thomaso
Screenshot_20190902-103918_Photos.jpeg
Screenshot_20190902-103851_Photos.jpeg
 
Haitapendeza kupita bila kumpongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro,kwa kupambana na kuhakikisha Dampo la maji ya chai linafukiwa,leo nikuwa natokea moshi nimeona greda linafukia dampo hilo ambalo ni kero kwa abiria na watali wanaopita barabara ya Moshi arusha.Hakuna mkuu wa wilaya na Mkoa ambaye amewahi kuwa Arumeru ambaye hajalalamikiwa kuhusu hili dampo.Kwa hili Muro nakupongeza sanaa umeonyesha Muheshimiwa hajabahatisha kukupa hicho Cheo.
Jerry Muro kumbe hii ni ID yako humu.

Bora ungefungwa tu wakati hule wa pingu
 
Haitapendeza kupita bila kumpongeza mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro,kwa kupambana na kuhakikisha Dampo la maji ya chai linafukiwa,leo nikuwa natokea moshi nimeona greda linafukia dampo hilo ambalo ni kero kwa abiria na watali wanaopita barabara ya Moshi arusha.Hakuna mkuu wa wilaya na Mkoa ambaye amewahi kuwa Arumeru ambaye hajalalamikiwa kuhusu hili dampo.Kwa hili Muro nakupongeza sanaa umeonyesha Muheshimiwa hajabahatisha kukupa hicho Cheo.
Umeamua kujipongeza wewe mwenyewe!!
 
Umeamua kujipongeza wewe mwenyewe!!
Mimi sio muro wala sijawahi mkubaligi ila kwa hili la dampo nampongeza, katika kitu ambacho naona ataacha kumbukumbu ya maana Arumeru ni hi kero ya Dampo.
 
Kwa hili kongole kwake ...sema nilikuwa nashangaa kipindi cha nyuma askari wa barabarani kukaaa ile sehemu ina harufu mbaya kupindukia sijapita mda

Wana mbinu nyingi za kuwadhurumu innocent citizens
 
May be sehemu ya utalii, kama wale masai wanaoishi na wanyama mwitu.
Sasa nafikiria unaifata ndito ya sepetu unapishana na bwana mjuu wa faru john anakula nyasi hahaha!
Kwa hili kongole kwake ...sema nilikuwa nashangaa kipindi cha nyuma askari wa barabarani kukaaa ile sehemu ina harufu mbaya kupindukia sijapita mda
 
Nimesoma uzi sijaelewa sifa hzi. Nikadhani labda mimi ndio sielewi au? Upuuzi na ujinga mtupu. Hakika elimu ya Tanzania inahitaji kubadilishwa haraka
 
Mtoa uzi mwenyewe ndo JM, vipi zile pingu ulizitoa wapi?

Back
Top Bottom