Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Hakuna kiapo kutunza uovu..ukifanya hivyo wewe ni jehanam ya moto huhitaji kuuliza!Hawezi kuandika kitabu huyu, huyu kaishi katika kiapo miaka yote na ni kiapo cha kutunza siri.
Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Ni slow thinkers, ila wana mbinu,Huyu alipaisha mpira, alibaki yeye na goalkeeper.
Kazi yake ilikua kufunga tu
Nchi inaongozwa na katiba tu, si diniHuyu mzee alituingiza chaka jamani hadi vitabu vya dini vimekataza wamama kupewa madalaka makubwa
Lipo wazi, kama kuna vitu hatuvitaki tuchukue hatua, haya mambo ya kutegemea fulani angefanya vile ni ujinga na kwa staili hiyo ccm au wahuni au yeyote yule atakayekuja tutaendelea kuburuzwa tuKosa sio la mabeyo, yeye alisimami katiba. Kama wananchi mnaona alikosea kwanin hamkuwah kung'aka akiwa bado makamu wa raisi? Hata hivyo tunabahati, hata makamu angekuwa Rostam Aziz au Mwijaku huyo ndo angekuwa raisi.
Hata kama ni siri za kijinga.Hawezi kuandika kitabu huyu, huyu kaishi katika kiapo miaka yote na ni kiapo cha kutunza siri.
Akatudanganya watz kumbe ni sehemu ya project...Usaliti wa Yuda!Mh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Unaamini alikuwa hajui kinachoendelea? Wapi! Adui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake mwenyewe, Yuda wetu huyu!Kama yupo hai(sina hakika) basi atakuwa anajutia sana nchi kuuzwa namna hii
Acha upumbavu nchi hii wamepita wakuu wa majeshi wangapi, we nyani ht ye mwenyewe atakushangaa kuiita nchi yake Tanganyika maana hakutumikia hiyo nchi ambayo haipo na we ngedere huifahamu zaidi ya kuwa umejaa ubaguzi na bila shaka ni msukuma ndiyo maana unamjua huyo km mkuu wa majeshi. Unamfahamu Mirisho Sarakikya? Unaijua historia yake? Vijana wa sk hz ni hamna kitu kichwani, zero brainMh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.
Huyu mzee wangu alibutua penalty. Ila ni mtu.poa sana namheshimu lile lilikuwa ni kosa la kiufundi tuMh. Salvatore Mabeyo hongera sana, kama si wewe tusingefika hapa tulipo, nikuombe kwa muda utakaopewa na Mungu wa kuishi uandike kitabu na ueleze yote uliyoifanyia Tanganyika. Kutoka kwenye Uvungu wa moyo wako utuambie yote mema na mabaya ili utuachie Historia sahihi ya utumishi wako.