Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,312
Hayo hayo angeyasema Zito mngekuja na matusi wala msingesifia kama mnavyo comment hapa.
Polepole huwezi kumlinganisha na Zito,polepole yupo njema sana.
Hayo hayo angeyasema Zito mngekuja na matusi wala msingesifia kama mnavyo comment hapa.
sasa ndio umechangia nini,na wewe ni great thinker au great sinker
Hata mimi PM ameni suprise kwa kiasi kikubwa mno kusea hajui kwa nini UKAWA hawapo Bungeni.Hongera zake, magamba ndiyo hayaelewe...
Mpaka PM hajui kwa nini UKAWA wametoka na wanataka nini. Maccm ni mizigo nchi hii.
We need our Tanganyika
huyo polepole sijui kasoma wapi yaani ni kijana anae nivutia kwa kila kitu mwenye namba yake ya simu anipe, nampenda sana yaani huwa ananikosha sana