Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Subiri nije niweke nyaraka na audio clips za uthibitisho, huu sio uchochezi HALIMA MDEE kushalalmika kwa uwazi kabisa kuwa SLAA anamuandalia KAWE JOSEPHINE
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
zitto alishaondoka chadema siku nyingi.sijui kwa nini watu hawajaelewa hili.huyu ni ccm mwanzo mwisho!watu walikuwa wanashangaa kwa nini cdm walimvumilia hivyo!maswali makubwa ya kujiuliza sasa hivi na kuyapatia majibu ni kwa nini watu wakigoma wanafanya mambo namna hii?ni kwa nini ccm inafanya kila liwezalo na kwa gharama yoyote kuua upinzani nchini?nani anafaidi:wananchi???nini madhara ya muda mfupi na mrefu ya tabia hii ya ccm kwa taifa ???WASOMI MSIKAE KIMYA TUSAIDIENI!VINGINEVYO ELIMU YENU NI MAJANGA.NAWAKILISHA.
Weka nyaraka acha maneno mengi kama changu aliyenyimwa ujira.
...we ##%%nge ni kwanini unanitukana....jiheshimu...Wewe naona unatafuta bwana, humu JF sio mahali pake ni bora ukaenda facebook huko utampa bwana!:A S wink:
Ha ha ha wehu wengi hujui anaingia kwenye CC
Akili ya nyani kundesha baiskeli.Mwalimu J.K.NYERERE """""alieleza kuwa dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu........amin msiamini huu ndo mwanzo wa kutafunana ndani ya CDM na hawatokaa salama milele......., wabunge wote wa CHADEMA kwa namna moja au nyingine tumewajua wapo upande upi! Kimsingi nampongeza Mbunge wa Kawe HALIMA MDEE kwa kukaa kimya, kutotoa neno lolote ambalo kwa namna moja au nyingine lingeendelea kukuza mgogoro! CHADEMA igeni kwa mwana Mama HALIMA MDEE kawashinda busara wanaume wote ndani ya CHADEMA upeo wa kufikiri! Nakushauri usije comment chochote juu ya hili sakata utajijengea heshima kubwa kwa nchi hiii
Mkuu Njopa, mtu unapoamua kujikomba komba kwa viongozi wabovu, huna haja ya kuandika posti ndeefu, maneno machache tuu yangetosha mfano uliposema utendaji wao unazidi wenyeviti na makatibu wa vyama vyote East and Central Africa,, ingetosha!.
Kiukweli kuna baadhi ya mashabiki wa Chadema sijui wanatumia nini kufikiri?!.
Pasco
Kwa wanaojua msimamo wa Mdee, tunaelewa kwa nini yuko kimya!. Pia ameisha jua madhambi ya Chadema kufanya fault finding cherry picking za kuwahukumu watu kwa makosa yao tuu regardless wameifanyia nini Chadema. Anajijua aliingiaje Chadema, what was her inspiration hadi kujoin Chadema. Wewe umemuona Halima tuu?!. Hujiulizi mbona Prof. Safari yuko kimya?.
Pasco
Tuliwaambia kuwa zitto hafukuziki ndanimya chadema wakabisha ona sasa wanaishia kuvuna aibu kubwa na kulia pasipo msiba chadema ni zitto akiondoka inakufa.