Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Hongereni sana Mhe. Edward Lowassa na Fred Lowassa Kwa siku yenu ya Kuzaliwa Mungu awazidishie Maisha Marefu na Mema na Afya Njema. AMEN
Ndio ilikua habari ya mjiniHizo suruali za miaka ileeee ileeeeeeeee... pekos..!!!
Ndio ilikua habari ya mjini
Yap,si hako kwenye pichaFred lowasa ni mwanae au?Mungu awape umri mrefu
The first family of Tanzanian's hearts.Hongereni sana Mhe. Edward Lowassa na Fred Lowassa Kwa siku yenu ya Kuzaliwa Mungu awazidishie Maisha Marefu na Mema na Afya Njema. AMEN
View attachment 388036
Nope!The first family of Tanzanian's hearts.
Happy birthday to you all.Hongereni sana Mhe. Edward Lowassa na Fred Lowassa Kwa siku yenu ya Kuzaliwa Mungu awazidishie Maisha Marefu na Mema na Afya Njema. AMEN
View attachment 388036
kwa hiyo hawa watatu pamoja na pamella lowasa na ada lowasa watakuwa front line tarehe mosi september?Hongereni sana Mhe. Edward Lowassa na Fred Lowassa Kwa siku yenu ya Kuzaliwa Mungu awazidishie Maisha Marefu na Mema na Afya Njema. AMEN
View attachment 388036