Hongera Edward Lowassa na Fred Lowassa kwa siku ya kuzaliwa

Ndugu wana JF.

Awali ya yote nitoe pole nyingi sana kwenu kwa mahangaiko ya shughuli nyingi za kusaka rizki.

Wengi wetu tunajua leo hii ni siku ya kuzaliwa kwa mzee wetu kipenzi cha watz wengi Mh. Ngoyai Edward Lowasa. Kwa wale wapenzi , washabiki,marafiki pamoja na ndugu naomba tutumie uzi huu kumtakia kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa .

Heshima yake ni kubwa katika jamii ya kitanzania,mchango wake kwa Taifa pia unaonekana.

Kama umeona inakuuma kusema "HAPPY BIRTHDAY " Kaa mbali na huu uzi.

Hatutaki longo longo zingine hapa.
Kuna wengine chuki zimewakaa mpaka kwenye nywele.

Moods naomba muulinde huu uzi.

View attachment 388105
mmmh team magufuli leo kimyaaa! ngoja nipite
 
Fred lowasa ni mwanae au?
Ndio ni mwanae. Nilikuwa nakutana nae miaka ile kwenye hideouts za kujisomea kwa ajili ya form six finals, alikuwa Mzizima, PCM, buttoned down, clean cut, laser focused, very mild mannered just like his father, and very very brilliant, academically at least, we went our separate ways after that, I don't know what became of him, but he wasn't cut out for politics for sure, just too aloof, not Ridhiwani Kikwete type.
 
Back
Top Bottom