Hongera Edward Lowassa na Fred Lowassa kwa siku ya kuzaliwa

GJHariohay

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Messages
1,026
Points
2,000

GJHariohay

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2013
1,026 2,000
Ndugu wana JF.

Awali ya yote nitoe pole nyingi sana kwenu kwa mahangaiko ya shughuli nyingi za kusaka rizki.

Wengi wetu tunajua leo hii ni siku ya kuzaliwa kwa mzee wetu kipenzi cha watz wengi Mh. Ngoyai Edward Lowasa. Kwa wale wapenzi , washabiki,marafiki pamoja na ndugu naomba tutumie uzi huu kumtakia kila la heri katika siku yake hii ya kuzaliwa .

Heshima yake ni kubwa katika jamii ya kitanzania,mchango wake kwa Taifa pia unaonekana.

Kama umeona inakuuma kusema "HAPPY BIRTHDAY " Kaa mbali na huu uzi.

Hatutaki longo longo zingine hapa.
Kuna wengine chuki zimewakaa mpaka kwenye nywele.

Moods naomba muulinde huu uzi.

1472209629108.jpg
 

Forum statistics

Threads 1,392,570
Members 528,644
Posts 34,111,783
Top