May I know the rate of return on capital employed (ROCE) of that project? Simple Henge Preta Maundumula I want to invest in chagga land because they normally leave in village and come Moshi town in the morning and back in the evening
Kiungwana na kibinadamu mtu akifanya Jambo jema anastahili kuambiwa hongera na Asante si Kama baadhi yetu hususan wafuasi wa Dr. Bunduki wao hawaoni jema Kila kitu kibaya. Tubadirike.....
Kaza buti jk malizia ahadi zako...
Kupongeza mtu anaetimiza majukumu yake ni kujikomba, halafu hapo kwenye red ni tubadilike 'l'Kiungwana na kibinadamu mtu akifanya Jambo jema anastahili kuambiwa hongera na Asante si Kama baadhi yetu hususan wafuasi wa dr. Bunduki wao hawaoni jema Kila kitu kibaya. Tubadirike.
hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......
Hii kitu tuliijadili sana sana hapa JF miaka kadhaa huko nyuma. Tuliweka njia kibao zinazoweza kutumika.
Kutumia Train ni UPUUZI mkubwa sana. Ni sawa na kuuwa Mjusi wa Rocket Bomb.
Labda aseme kwa kuanzia, hapo ntakubali ila haraka sana waanze kufikia Bus Train au Trams zinazotumia mafuta.
Ila kutumia mafuta ni UPUUZI pia maana Tanzania ina GAS. Inatosha kabisa kutafuta makampuni ambayo yapo mengi tu duniani yanayotengeneza Engines za kutumia GAS. Kama Miji itaanza kutumia hizi Train, basi tunaweza kabisa kutafuta kampuni ambayo itaanza kujenga/kuunda haya matrain/mabasi hapa hapa nchini yanayotumia GAS.
Uzuri wa Trams au Mabasi ni speed kubwa na hivyo kusaidia vichwa vya train ambavyo ni vichache, viwe vinakwenda mikoani.
![]()
Wakati nyie mnafaidi usafiri wa Mwakyembe, angalia watu wa Kigoma wanavyolalamika.
Sikonge unasema kutumia treni ni upuuzi HOW?
Tanzania ina hela nyingi sana. Kamuulize Waziri wa UMEME atakuambia kuwa Tanzania, mgawo unapikwa. Wakienda tu Uswiss, wataleta hela nyingi sana za kununulia Bus Train za kutosha kuingiza kwenye hiyo Reli ya Mwakyebe......
Huna miundo mbinu ya kurun izo tram kijana
Alichofanya Mwakyembe ni to make use of the availlable resources
Sikonge dont be too ambitious wakati inchi yako ela haina
And in your thinking try to be realistic sio kuleta ndoto apa ambazo utekelezaji wake utachukua ten to five years
Kaza buti jk malizia ahadi zako...