andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,006
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA...
Kwa mtazamo wao walikua wako sahihi, kwa sababu it is next to impossible kujenga reli za kuhudumia dar na kuzifanya zianze kazi ndani ya miezi sita.
Kitu mbacho hawakujiuliza ni kwamba je hizo reli zote ni mpya?
Baadhi ya hizi reli zilikuwepo tangu awali, kwa mfano reli zinazoanzia ubungo mpaka stesheni zilitumika enzi hizo kusafirisha bidhaa kutoka viwanda vya ubungo kwenda stesheni(urafiki, UFI, Fishnet,Maziwa, storage ya bandari, n.k)