Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

May I know the rate of return on capital employed (ROCE) of that project? Simple Henge Preta Maundumula I want to invest in chagga land because they normally leave in village and come Moshi town in the morning and back in the evening

mkuu, usikariri vitu. Sio kwenye kila kitu tunacalculate ROCE, huu ni mradi wa maendeleo ya jamii, so we look for socio-economic benefit.

Hebu calculate kwanza, ROCE ya kuwa mke, then fikiri, uone kama utaivest!
 
Ndachuwa,

Hizi project nyingine kwa mtu binafsi huwezi kuzifanya maana investment kubwa mno huwa zinakuja kulipa baadae sana labda miaka 40 :becky:

Kwa serikali la muhimu zaidi ni Marginal Social benefit, unakuta hapo kuna watu wengi wanaokoa muda badala ya kukaa kwenye foleni 2-3 hrs watatumia 30 Minutes kwa mfano. Piga hesabu kwa mfano kila saa moja inam cost mtanzania sh 300 kwa masaa yale unayo save 2 hrs * number of passengers/day* Number of days in a year - Costs = benefits kwa wote.
 
Nauli pesa ngapi?

Shida sio nauli mzazi ila Wanyakyusa humo kwenye mchuma wanasalimiana njia nzima.............yaaani ukitoka humo ndani ushaambukizwa unyakiusa mbona kwenye daladala hatuwasikii..
 
Bravoo Mwakyembe! Is the kind of leader we need! May our God protect him and his projects!
 
Moyo wangu ungefurahi zaidi kama wakuu wake wangekuwa wa kwanza kumpongeza.....hongera mheshimiwa wewe ni "jembe".....wao walikupa kazi ututumikie sisi....hauko pekee...tumeridhika...tuko pamoja...HONGERA...
 
Ni kweli kabisa Preta hawa mawaziri ni majembe ya ukweli tatizo hawamo kwenye NEC taifa hivyo uwezekano wa kupigwa zengwe ni mkubwa mno.Utashangaa hata kwenye harakati za kugombea urais hawatakuwemo kabisa tena wakijaribu kutia pua safari za India hazitokawiya.

Hili ndiyo tatizo la CCM majembe yao ya ukweli hayana nafasi kabisa.Wezi na walarushwa ndiyo wenye nafasi kwakuwa wana uwezo wa kutngeneza mitandao.

hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......
 
Last edited by a moderator:
Shida sio nauli mzazi ila Wanyakyusa humo kwenye mchuma wanasalimiana njia nzima.............yaaani ukitoka humo ndani ushaambukizwa unyakiusa mbona kwenye daladala hatuwasikii..

Hahahah, sasa hamtaki watu wasalimiane?

Na wewe tafuta jamaa wa kabila lako muwe mnasalimiana njia nzima
 
Naona wakuu wenzie kimyaaaaaaaa..........Mwac-Embe we piga kazi mkuu wetu.Watanzania mamilioni wanakutaja muda huu hizo ni baraka za kipekee hata mwenyez Mungu atakusamehe kama ulikua na madhambi yeyote...familia yako itabarikiwa na utapewa maisha marefu yenye amani,furaha na upendo.....yote hayo ni kwasababu tulio wengi tunakushukuru wewe ulieamua.........Omari Nundu shkamoo!!
 
Hii kitu tuliijadili sana sana hapa JF miaka kadhaa huko nyuma. Tuliweka njia kibao zinazoweza kutumika.

Kutumia Train ni UPUUZI mkubwa sana. Ni sawa na kuuwa Mjusi wa Rocket Bomb.

Labda aseme kwa kuanzia, hapo ntakubali ila haraka sana waanze kufikia Bus Train au Trams zinazotumia mafuta.

Ila kutumia mafuta ni UPUUZI pia maana Tanzania ina GAS. Inatosha kabisa kutafuta makampuni ambayo yapo mengi tu duniani yanayotengeneza Engines za kutumia GAS. Kama Miji itaanza kutumia hizi Train, basi tunaweza kabisa kutafuta kampuni ambayo itaanza kujenga/kuunda haya matrain/mabasi hapa hapa nchini yanayotumia GAS.

Uzuri wa Trams au Mabasi ni speed kubwa na hivyo kusaidia vichwa vya train ambavyo ni vichache, viwe vinakwenda mikoani.

2200714822_10dd72fc1b.jpg

Wakati nyie mnafaidi usafiri wa Mwakyembe, angalia watu wa Kigoma wanavyolalamika.

Last edited by a moderator:
shida sio nauli mzazi ila wanyakyusa humo kwenye mchuma wanasalimiana njia nzima.............yaaani ukitoka humo ndani ushaambukizwa unyakiusa mbona kwenye daladala hatuwasikii..
wanajiona wako nyumbani wamezoea tazara...halafu mi nimepanda na sijaona kitu kama hicho
 
Duu!!!, Preta, utauziwa paka kwenye gunia. Soma ujumbe wangu hapo juu na hasa hiyo Video y ITV usikie Waha wa Kigoma na Wafipa nduguze Pinda wakilalamika.
hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......
 
Last edited by a moderator:
Shilingi 400/= kwa mtu mzima
Shilingi 100/= kwa wakusoma

kwa hiyo kwenda na kurudi shs 800 na ukifika hapo stesheni wengine wanapanda basi kuelekea makazini sh 200 nyingine kwenda na kurudi so tunazungumzia shs 1200 kwa siku ambayo ni shs 6000 kwa wiki, hapo hujala bado....si mchezo kweli bongo saivi ndio new york haswaa
 
Ni kweli, kwa hali ya maisha ya sasa hivi huo ni mzigo mkubwa kwa mwananchi wa kawaida. Lakini itampunguzia kuchoka kukaa kwenye daladala kwa masa mawili, na kuchelewa kule aendako na arudiko...sasa hivi ni rahisi kumpa mtu appointment ukitokea Ubungo kwenda city centre, kuliko wakati wowote ule!!
 
Hii kitu tuliijadili sana sana hapa JF miaka kadhaa huko nyuma. Tuliweka njia kibao zinazoweza kutumika.

Kutumia Train ni UPUUZI mkubwa sana. Ni sawa na kuuwa Mjusi wa Rocket Bomb.

Labda aseme kwa kuanzia, hapo ntakubali ila haraka sana waanze kufikia Bus Train au Trams zinazotumia mafuta.

Ila kutumia mafuta ni UPUUZI pia maana Tanzania ina GAS. Inatosha kabisa kutafuta makampuni ambayo yapo mengi tu duniani yanayotengeneza Engines za kutumia GAS. Kama Miji itaanza kutumia hizi Train, basi tunaweza kabisa kutafuta kampuni ambayo itaanza kujenga/kuunda haya matrain/mabasi hapa hapa nchini yanayotumia GAS.

Uzuri wa Trams au Mabasi ni speed kubwa na hivyo kusaidia vichwa vya train ambavyo ni vichache, viwe vinakwenda mikoani.

2200714822_10dd72fc1b.jpg

Wakati nyie mnafaidi usafiri wa Mwakyembe, angalia watu wa Kigoma wanavyolalamika.

Mkuu sikonge uko sahihi kabisa!! Hizi taka taka tunashangilia wakati zilitakiwa kuwapo tangu miaka 15 iliyopita, watu wanaiba tu baada ya kukabwa koo ndo wanaanza kutekeleza mambo ambayo dunia hata haipo huko. Anyway, taratibu tutaanza kuelekea pazuri baada ya kujionea hili.
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo kwenda na kurudi shs 800 na ukifika hapo stesheni wengine wanapanda basi kuelekea makazini sh 200 nyingine kwenda na kurudi so tunazungumzia shs 1200 kwa siku ambayo ni shs 6000 kwa wiki, hapo hujala bado....si mchezo kweli bongo saivi ndio new york haswaa
Watu walishazoea kuondoka saa nne nyumbani kwa kisingizio cha foleni wakiwa wameshakula na mchana anavusha. Lakini kwa sasa hakuna sababu ya kuchelewa!!
 
Sikonge unasema kutumia treni ni upuuzi HOW?
Huna miundo mbinu ya kurun izo tram kijana
Alichofanya Mwakyembe ni to make use of the availlable resources
Sikonge dont be too ambitious wakati inchi yako ela haina
And in your thinking try to be realistic sio kuleta ndoto apa ambazo utekelezaji wake utachukua ten to five years
 
hawa ndio mawaziri ambao wanaweza kunishawishi niangalie CCM kwa jicho lingine.......tatizo ni wachache sana......kama wote wangekuwa hivyo......tusingekuwa na malumbano......binafsi namuona Mwakyembe na Magufuli.......sijui wenzangu.......

Hata uwe jembe, plau au trekta ndani ya ccn huwezi kulima. Muda si mrefu ataambiwa aache ubabe!
 
Ni kweli, kwa hali ya maisha ya sasa hivi huo ni mzigo mkubwa kwa mwananchi wa kawaida. Lakini itampunguzia kuchoka kukaa kwenye daladala kwa masa mawili, na kuchelewa kule aendako na arudiko...sasa hivi ni rahisi kumpa mtu appointment ukitokea Ubungo kwenda city centre, kuliko wakati wowote ule!!

hizo treni ziko kila baada ya mda gani...mfano ukifika ubungo ukakuta imeshaondoka unasubiri mda gani kwa nyingine kuja?
 
!!..Inaniuma sana pindi my EX-GIRLFRIEND anapopata NEW BOYFRIEND akatoka SHAVU DODO zaidi ya nilivyo kuwa naye..!!

sasa demu si we mwenye umemwacha???yan me sijaelewa bado so we ulitaka awe na maisha magumu ili???au unataka akurudie baadae!!hapa ndipo siwaelewi wanaume kabisa.....

teh mimi roho inaniuma tu kwa sababu ya wivu wangu yaani natamani mtoto mzuri arudi kwenye himaya ...si unajua tena kula raha kuliko kutunza banaa............
 
mkuu, usikariri vitu. Sio kwenye kila kitu tunacalculate ROCE, huu ni mradi wa maendeleo ya jamii, so we look for socio-economic benefit.

Hebu calculate kwanza, ROCE ya kuwa mke, then fikiri, uone kama utaivest!

ROCE ya kuoa mke ni kubwa sana wewe fikiri cost ya kula hotel au kupika unaokoa ngapi, kufuliwa nguo unaokoa ngapi, kufanyiwa massage unaokoa ngapi, kuangaliwa usafi wa nyumba unaokoa ngapi wewe kama umetarget wapaka kucha rangi na kuchora picha mwilini imekula kwako. Simple unapozungumzia "sustainability" ya shirika la umma maana yake ni nini? Shirika la reli linatakiwa lijiendeshe hivyo ukisema huo mradi hauna rejesho hizo ni biashara za machinga complex hazifai kabisa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom