Ni wajibu wake kama kiongozi kubuni mbinu nzuri za kusolve matatizo kwenye jamii.
mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, clouds walimtukana sana, hasa gerald hando na pj, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, ninawachukia
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.
SHIME MWAKYEMBE.
:israel:[/QUOTE
Nataka kukomenti, but by the way kwani huyu mjamaa Dr ni wa dini gani, ya kwetu ama ya ya kwenu? :A S 41:
treni inatoka wapi kwenda wapi?
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA

Aloson hawezi kuwa mchoma makanisa huyu! Atakuwa mchukia shetani na matendo yake yote! Hii ndiyo dini ya kwetu.
Ulaya train bei mbaya kuliko ndege sembuse daladala! Uliza wa USA, Japan au UK wakuambie bei ya train kulinganisha na basiTreni za ghali kuliko daladala!
wewe unatumia kichwa chako kufugia nywele! brain memory yako ni 0.0005KB(Akili Mgando)! kila mtu akiwajibika ipasavyo katika eneo lake la kazi nchi yetu itasonga mbele!
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
Ndugu yangu labda wengi walishindwa kufanya hivyo kwakuwa wanamiliki daladala na mabasi ya mikoani.
WAMELEWA SIFA!! kwao wao kizuri kinafanywa na RUGE AU JO TU shame couds na midisco yao.LIVE LONG MWAKYEMBEMwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
Jambo jema lazima tulisifie na kulikubali, amefanya jambo la maana sana ambalo wengi walidhani haliwezekani kabisa. Lakini pia namshukuru (Wizara nzima) kwa kuweka kiwango kidogo cha nauli tshs 500 ukiachana na ile ya mwanzo ilokuwa imetangazwa (tshs 800). Kazi wanayokuwa nayo kwasasa ni kujaribu kuzuia mianya ya utapeli hasa wa mapato ambao ni hulka ya utendaji katika serikali hii!!!! Hii pia isiwe ni nguvu ya soda kwani tunahitaji pia kusimamia kwa uadilifu ili nguvu hii iendelee. Hata Air Tz naona nayo inakata mawingu!!!!
Halafu walitaka kumuua Mtu mwenye akili nyingi Kama Huyu. Bora afe tena afe mamvi ELHAPO!! Wengi wazo walikuwa nalo, shida ilikuwa je daladala zao zitakwenda wapi?? HONGERA MWAKYEMBE.