Mkuu hii ungeianzishia thread kabisa tuwaumbue wanafiki woteMwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
Ingefaa na ingependeza mabasi yote ya mikoani yaishie Chalinze abiria wote waingi kwenye traini. Ubungo - station in umbali mdogo sana wala sidhani kama huo mradi utakuweza kujiendesha (sustainability) RahajipeNaomba nitumie nafasi hii kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.
SHIME MWAKYEMBE.
:israel:
Kwahili.. Ni kweli anastahili pongez!!Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.
SHIME MWAKYEMBE.
:israel:
Mbon hizo kazi hazikufanywa toka mwaka 2005!
we ndio kilaza a.k.a mburula!! hujui job description!! ipo siku utamsifia house girl wako kwa kukufulia chupi lako,wewe ni lofa tena *****![/QUOTE]
dUH, Mgomba1: ndugu yangu cjawahi kuona unawaka namna hii, mbona umemshushia mvua ya mawe namna hii? au amekuta umeshaingiza overdrive!
Mwakyembe alipoomba miezi sita ili treni iwe inafanyakazi, Clouds walimtukana sana, hasa Gerald Hando na PJ, leo eti wanamsifia.
Clouds acheni uzandiki na unafiki, NINAWACHUKIA
Hongera sana Dr. Mwakyembe.
Safi sana Dr.Mwakyembe,maana tatizo la usafiri Dar,ni JANGA..
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu uhuru wa nchi hii upatikane.
SHIME MWAKYEMBE.
:israel:
DAR tu??? Huko ndiko kwenye kamisheni ya pongezi!!huku kwetu msamaria mwema kajenga daraja la miti,baiskeli zetu sasa zinavuka kwenda ngambo kuchukua chumvi,mpunga na kuwapeleka wagonjwa dispensary!!vifo vitapungua sasa!!njaa itapata msukosuko sasa,,ila pongezi ni mpaka kamisheni ya pongezi imalize kazi dar,iende arusha,mwanza ndiyo tusikie ilipita hapa last week!!haya bana! Tanzania ni dar tu.
Mbona unatokwa povu wakati wala sikumtaja wa angani ni nani!Na uzuri wa angani huwa anaangalia wanamtandao tu hata kama ni useless.