Hongera Dr Mashinji: Unaitendea haki kazi yako

Mbona misiba kibao imetokea na rambi rambi mmekusanya? Hiyo si njia mbadala ya kupata wanachama wapya kwa kutumia misiba?
Are you insane??? Au unaongea for the sake ya utani watu wacheke???? Wapi kwenye sheria ya vyama vya siasa inasema misiba ndio sehem ya kupata wanachama??? Its very clear ni maandamano na mikutano na vikao n.k sasa mnapozuia mnaua dhana nzima ya MINORITY RIGHTS kma msingi namba 4 wa demokrasia!!!!!!

Magu afanye kazi yake ya kujenga viwanda na pia upinzani ufanye kazi yake ili mwisho wa siku watanzania waamue nani wanamuhitaji kwa wakati gani na nafasi gani.... kuzuia wapinzani ni kuua demokrasia na ndio maana libya na maendeleo yote yale ya gadafi au msiri kwa mubarak walipinduliwa sababu ya udikteta sio maendeleo haya nyie endeleeni kumpamba tu
 
Back
Top Bottom