Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,374
Mafanikio makubwa kwa Dr Mashinji ni kuporomoka kwa kiwango cha kukubalika kwa CDM na kupotea kabisa kwa chama hicho kwenye ramani. Utafiti wa Twaweza uliotolewa leo unaonesha kuporomoka kwa chama hicho kutoka asilimia 32 mwaka 2015 hadi asilimia 15 mwaka huu. Mashinji amefanya haya kwa kipindi kifupi mno. Kudos daktari