Hongera Dr Mashinji: Unaitendea haki kazi yako

Mafanikio makubwa kwa Dr Mashinji ni kuporomoka kwa kiwango cha kukubalika kwa CDM na kupotea kabisa kwa chama hicho kwenye ramani. Utafiti wa Twaweza uliotolewa leo unaonesha kuporomoka kwa chama hicho kutoka asilimia 32 mwaka 2015 hadi asilimia 15 mwaka huu. Mashinji amefanya haya kwa kipindi kifupi mno. Kudos daktari

CHADEMA ina watu waelewa ambao waligundua kuwa uanaharakati usingewasaidia zaidi.SLAA alikuwa mwanaharakati na alikuwa tayari kuingia barabarani.
Mashinji ni mtu wa mkakati na anajua anchofanya na kama huamini rudi katika ngazi za chini ambapo ukiongea na viongozi unagundua kuwa kuna jitihada ya kukijenga chama kuanzia chini.
Chadema inaweza kupoteza wabunge na hata kura za uraisi lakini itakuwa imeanza kujijenga kama taasisi.
Hata hivyo kifo cha CDM ndio furaha ya CCM.
 
ni ukweli usiopingika nafasi ya ukatibu mkuu alipaswa apewe mtu anaeweza mikiki mikiki sio mtu anaejifungia chumban yeye na kompyuta..na vikao tu...apewe JOHN MREMA AU LEMA
 
Sad!
 
Mashinji anadai mishahara yake, kwanza alipwi mshahara kama Dr Slaa, anaona bora arejee katika kazi yake ya zamani
 
Mafanikio makubwa kwa Dr Mashinji ni kuporomoka kwa kiwango cha kukubalika kwa CDM na kupotea kabisa kwa chama hicho kwenye ramani. Utafiti wa Twaweza uliotolewa leo unaonesha kuporomoka kwa chama hicho kutoka asilimia 32 mwaka 2015 hadi asilimia 15 mwaka huu. Mashinji amefanya haya kwa kipindi kifupi mno. Kudos daktari
Hivi petrobas katambi yupo wapi
 
CHADEMA ina watu waelewa ambao waligundua kuwa uanaharakati usingewasaidia zaidi.SLAA alikuwa mwanaharakati na alikuwa tayari kuingia barabarani.
Mashinji ni mtu wa mkakati na anajua anchofanya na kama huamini rudi katika ngazi za chini ambapo ukiongea na viongozi unagundua kuwa kuna jitihada ya kukijenga chama kuanzia chini.
Chadema inaweza kupoteza wabunge na hata kura za uraisi lakini itakuwa imeanza kujijenga kama taasisi.
Hata hivyo kifo cha CDM ndio furaha ya CCM.
Huko chini ndio hakuna kabisa chadema.Msidanganyane kila kitu kinaanza na kuishia ufipa
Kubalini tu bado hamjapata mtu wa kuziba pengo la Padri Slaa
 
ni ukweli usiopingika nafasi ya ukatibu mkuu alipaswa apewe mtu anaeweza mikiki mikiki sio mtu anaejifungia chumban yeye na kompyuta..na vikao tu...apewe JOHN MREMA AU LEMA
Kwani chadema hakuna kina Mwakitosi?
 
Tunaomba ajiunge JF ili kujenga zaidi moral ya vijana humu kama alivyofanya dokta slaa
 
Hii nchi ya kijinga sana yaani mmezuia mikutano ya siasa ambayo ilikuwa mtaji mkunwa wa vyama kusaka wanachama wapya ma kuwafikishia sera zao mlangoni afu mnawacheka wakiporomoka????? Yaani unamfunga bondia unayepambama naye mikono afu ukimpiga knockout unashangilia!!!

Ruhusuni mikutano tena ndio mje na hizo propaganda zenu mnachosha kwa kweli
Kuporomoka kwa Chadema sio sababu ya kukosa mikutano ya hadhara.

Lowasa huyu amewapoteza sana Chadema, lile kosa litawagharimu Chadema kwa muda mrefu ujao

Kukosa ajenda ya kusimamia, wamekuwa ni watu kurukia matukio...toka watelekeza ajenda ya Ufisadi na kuwa watetezi wa mafisadi hiyo inawagharimu siku hadi siku.
 
Duh! Hapo Chadema walipotea step kweli huyu jamaa ni bomu kweli. Kama Chadema wako seriously kumarisha chama chao hawawezi kumpa nyadhifa nyeti kama hii. Huyu jamaa hata kuongea kama mwanasiasa hajui. Nafikiri CCM inafurahia sana uteuzi wake sababu hana impact yeyote. More than driving the party backwards
 
Kuporomoka kwa Chadema sio sababu ya kukosa mikutano ya hadhara.

Lowasa huyu amewapoteza sana Chadema, lile kosa litawagharimu Chadema kwa muda mrefu ujao

Kukosa ajenda ya kusimamia, wamekuwa ni watu kurukia matukio...toka watelekeza ajenda ya Ufisadi na kuwa watetezi wa mafisadi hiyo inawagharimu siku hadi siku.
Hayo ya kukosa agenda na lowass nalielezea humu kila cku na nmesharudia kuwaeleza humu mpka nimechoka...... sitorudia leo ila ukweli ni kwamba wapinzani walipata umaarufu sana hasa bunge na M4C sasa hizo zote moja zimefutwa nyingine bunge halionekani live kwa wote kma zamani...... na hyo ni big blow maana ameachiwa tu JPM na CCM kutawala vichwa vya habari na majukwaa ya kisiasa sasa huoni inaiua chadema???
 
Hii nchi ya kijinga sana yaani mmezuia mikutano ya siasa ambayo ilikuwa mtaji mkunwa wa vyama kusaka wanachama wapya ma kuwafikishia sera zao mlangoni afu mnawacheka wakiporomoka????? Yaani unamfunga bondia unayepambama naye mikono afu ukimpiga knockout unashangilia!!!

Ruhusuni mikutano tena ndio mje na hizo propaganda zenu mnachosha kwa kweli

Mbona misiba kibao imetokea na rambi rambi mmekusanya? Hiyo si njia mbadala ya kupata wanachama wapya kwa kutumia misiba?
 
Back
Top Bottom