Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,252
- 9,311
Nampongeza classmate wangu wa muda mrefu darasa la ps Mlimani kwa kupata jiko.joya
Umenipa moyo kuwa umri wetu bado sana na tunazo nguvu za kutosha kuendesha maisha ya ndoa.
Nakupongeza & nakushukuru pia kwani uamuzi wako mzuri umenipa hamasa ya kutafuta jiko jipya.
Naahidi kutafuta siku za karibuni tuweze kupeana uzoefu
Nawaombea maisha mema yenye furaha na amani
Mungu awabariki sana
Ni Mimi nduguyo wa PS UDSM 1997-2,000