LazaroSMtindi
Senior Member
- May 6, 2008
- 100
- 5
Nampa hongera nyingi Dk. Chegeni kwa kuweza kuwatumia Police vizuri hadi kuokoa maisha yake. Nampa POLE "yatima" Dk. Mwakyembe ambaye kila njama dhidi yake haifanyiwikazi na Polisi badala yake anajibiwa na magazeti ya RAI,MTANZANIA na TANZANIA DAIMA bila kukemewa na vyombo husika kwa kuingilia mchakato rasmi wa kisheria. Wanakosoa kila neno kwenye malalamiko ya Mwakyembe utadhani wanamwambia kuwa anyamaze kwani alisha hukumiwa siku nyingi adhabu ya kifo! Masikini Mwakyembe, POLE!!!