Hongera CHADEMA kwa kujitoa, leo uchaguzi unafanyika bila umwagaji wa damu

Wafuasi wa chadema wanastahili kabisa kuitwa nyumbu.Leo wanapongeza tena.

Ww ni mnafiki kama wanafiki wengine. Waliposusia ulikuwa unawakashifu, sasa wanashiriki unaokoteza maneno ya kitoto eti ni nyumbu.
 
Kuna dalili zote kuwa uendawazimu uliwahi kukukumba au mna asili ya laana flani kwenu! anaefanya fujo ni ccm au CDM?
 
Back
Top Bottom