Hongera CHADEMA kwa kujitoa, leo uchaguzi unafanyika bila umwagaji wa damu

Binafsi naona wangeshiriki Tu kuliko kususia,kuvuja kwa pakacha Ni nafuu kwa mchukuzi.CCM ndio wanao nufaika!
 
Kama tulivyoshuhudia Vifo na umwagaji wa damu katika uchaguzi Mdogo uliopita, hali ni tofauti Leo baada ya chadema kujitoa! Mambo yako kimya kimya ni amani tupu utadhania hata hakuna uchagzui Leo.

Hakuna sehemu yaliporipotiwa mauaji au umwagaji wa damu, kuanzia kipindi cha kampeni hadi Leo siku ya uchagzui

Hongereni chadema, kujitoa kweni kumeepusha mengi hasa kwa RAIA wasio na hatia

Nawakumbhusha jamani Leo ni uchaguzi wa mfumo wa chama kimoja, maana wengi hamkuwa na taarifa
Yani nikama vile hakuna uchaguzi, sawasawa na upinzani uliopo kati ya simba na yanga. Simba akijitoa kwenye ligi nzima inakua nikama vile haina maana.
 
Kama tulivyoshuhudia Vifo na umwagaji wa damu katika uchaguzi Mdogo uliopita, hali ni tofauti Leo baada ya chadema kujitoa! Mambo yako kimya kimya ni amani tupu utadhania hata hakuna uchagzui Leo.

Hakuna sehemu yaliporipotiwa mauaji au umwagaji wa damu, kuanzia kipindi cha kampeni hadi Leo siku ya uchagzui

Hongereni chadema, kujitoa kweni kumeepusha mengi hasa kwa RAIA wasio na hatia

Nawakumbhusha jamani Leo ni uchaguzi wa mfumo wa chama kimoja, maana wengi hamkuwa na taarifa

Uchaguzi gani Mkuu?
 
Muungwana ni vitendo.....
1. Hongereni UKAWA kwa kususia, najua mmeepusha vurumai zisizo za lazima kwa watu wenu...
2. Najua CCM watasema UKAWA ndio chanzo cha vurugu...si umeona leo uchaguzi umefanyika kwa Amani bila vurugu....wananchi wamekuwa na Amani kwa uchaguz.....
 
Back
Top Bottom