Kila chama kina maeneo yake ya kujidai - Kwa kalenga huo ulikuwa mchezo wa nyumbani kwa CCM. Ni sawa na CCM uwaambie eti watarajie kushinda kwenye majimbo ya Arusha mjini, Ubungo, Kawe hiyo itakuwa ndoto kwao. Cha msingi lazima ujipime kwa mshindani wako, kama CDM wasingeenda Kalenga kwa kujua kwamba CCM wana nguvu sana jimboni pale je wangewezaje kuziona alama zao na kufanya masahihisho? Binafsi nasema CDM wamejua ni wapi wamejikwaa na kazi gani ifanyike sasa!! Mbali na daftari la wapiga kura linalowanyima vijana (wanamabadiliko) kushiriki kwenye hizi chaguzi ndogo lakini pia ni muhimu kuwaelimisha wananchi juu ya elimu uraia.
Lini umeeacha kuvuta gomba?
Kweli kabisa ni hatua kubwa kuelekea kupotea katika duru za siasa, kasi ya kifo cha CDM ni kubwa kutoka 900-5000 kwa siku
Wewe ni kichaa sana huyu mama alipata kura 10,000 mwaka 2010.leo kagombea kupitia Chagadema zimeshuka mpaka,5800 sasa huoni kuwa,mama huyu Chadema imemcost?
Ushindi ni wetu nyie mmepora kura zetu.... magari manne ya police alokuwa nayo mwigulu ya nn? tafakari
Ndio tathmini ya kisayansi mliyokuja nayo? Na bado, subirini chalinze
Mkuu Zogwale mbona hayo yote hatakuyasikia kabla? pokeeni matokeo kama changamoto na kujipima.Haiwezekani Chadema ikaingia katika chaguzi kwa hali ya sasa ikashinda.Katika hesabu zangu hili ni ongezeko kubwa sana!!! zaidi ya mara tano ya kura za 2010. Tena ukizingatia katika daftari la wapinga kura kuna wanachama wa CDM wanakuwa declared dead wakati ni wazima!!!! Wengine wameondolewa na mapya ambayo hata kalenga hawapo wamepachikwa!!!! Sasa uchaguzi kamili ni 2015!!! Labda mkahamishe watusi na wahutu kuja kupiga kura!!!! Hapa assuming na Denominator remains the same hapa kuna ongezeko la asilimia approx. 455.6% exceeding the normal 100%.
WAPIGA KURA 2010 waliojiandikisha ni 71alfu waliopiga kura majuzi ktk uchaguz mdogo ni 28alfu.ni zaidi ya60%hawapo.
Mkuu Zogwale mbona hayo yote hatakuyasikia kabla? pokeeni matokeo kama changamoto na kujipima.Haiwezekani Chadema ikaingia katika chaguzi kwa hali ya sasa ikashinda.
Teh teh, vya kuzimuni..mana amekuja na mpya kwamba hakuna mungu baada ya yule mungu wao kuwakimbia kalengaYericko amezinduka lakini anaongea vitu vya zamani kama story za shule ya msingi n.k
Wajua ni ongezeko la asilimia ngapi?Tunaokokotoa mahesabu kama biashara yako ikipanda toka Tzs.900 kufikia Tzs.5000 ni ongezeko la asilimia ngapi?Ukiwa makini utaona ni jinsi gani chama kimepoteza mvuto,pamoja na kutumia mabavu bado mmenyangaywa wapiga kura 5000.Lazima mjitathmini.Na hapo ukizingati hakuna HAKI wala UHURU wa kupigia vyama vya upinzani.