Hongera CHADEMA; Kutoka kura 900 hadi 5000

Hongera CHADEMA; Kutoka kura 900 hadi 5000

Tukiondoa ushabiki, nadhani hata viti vinaongezeka, nadhani kuna ukweli kuwa CDM ni kati ya vyama vya upinzani vinavyoongeza viti kwa kiasi kikubwa tangu kilipoanzishwa. unajua kuingia katika mashindano kuna kupata au kukosa. Kama walipata Arumeru mashariki, baada ya kukosa Igunga, mimi nadhani ni sawa. wamekosa Kalenga. Bado naona ni sawa kuendelea kujaribu. As far as I know, ni kazi ngumu sana kuendesha siasa za upinzani katika nchi maskini kama Tanzania, with the fact that baadhi ya watu wanagombea with a motive ya kupunguza umaskini, na wengine wanachagua ili wapate kipande cha mkate. Mimi binafsi sijafuatilia uwiano wa kura zilizopigwa Kalenga, lakini kama kweli walipata kura 900 tu miaka mitatu iliyopita, katika jimbo hilo hilo, na leo wamepata kura 5,000, ni hatua kubwa sana kwa chama cha upinzani. Wasivunjie moyo.they should keep up. Kuna mambo mengi katika uchaguzi ranging from umasikini, elimu ya uraia, voters education, etc.
 
Mgombea huyo huyo alipata kura 13000 alipokuwa na chama cha jahazi asilia mwaka 2010. Leo amepata kura elf 5 akiwa na CDM. Tafsiri yake ni nini?? Ukizingatia chama chake cha awali hakikusimamisha mgombea
 
Back
Top Bottom