Wakuuu kama mtakuwa watu wa statistics hutapata shida kuelewa hatua inayopigwa na chadema jimboni kalenga.
2010....kura 900....
2015...kura 5000...hii ni hatua kubwa sana.
Wakuuu kama mtakuwa watu wa statistics hutapata shida kuelewa hatua inayopigwa na chadema jimboni kalenga.
2010....kura 900....
2015...kura 5000...hii ni hatua kubwa sana.
Ushindi ni wetu nyie mmepora kura zetu.... magari manne ya police alokuwa nayo mwigulu ya nn? tafakariMtajipa moyo sana lakini mshachezea koki.
Hizo kura 5000 mmepata kwa mbinde, chopa na CDM yote yote ilihamia Kalenga na bado makapata kura 5000 na leo mnajipongeza.
Una ngozi ngumu kweli, viherehere wenzio akina yeriko,sa8 kurugenzi ya habari hadi sasa bado wamezirai hawajazindukakatika ukweli uwe mstaarabu dada angu..... kaangalie takwimu za uchaguzi mkuu ulopita
katika ukweli uwe mstaarabu dada angu..... kaangalie takwimu za uchaguzi mkuu ulopita
Kweli kabisa ni hatua kubwa kuelekea kupotea katika duru za siasa, kasi ya kifo cha CDM ni kubwa kutoka 900-5000 kwa siku
Pamoja na kuhonga mmeangukia pua. Yule mungu wenu vipi?Ushindi ni wetu nyie mmepora kura zetu.... magari manne ya police alokuwa nayo mwigulu ya nn? tafakari
Ndio tathmini ya kisayansi mliyokuja nayo? Na bado, subirini chalinze
Una ngozi ngumu kweli, viherehere wenzio akina yeriko,sa8 kurugenzi ya habari hadi sasa bado wamezirai hawajazinduka
Haya matusi yenu ndio yaliyochangia matokeo ya chopa 3 kata 3, na sasa 0 kalengakatika ukweli uwe mstaarabu dada angu..... kaangalie takwimu za uchaguzi mkuu ulopita
nasikitika sana kuishi na watu kama nyie:mvutaji: hapa duniani.Wakuuu kama mtakuwa watu wa statistics hutapata shida kuelewa hatua inayopigwa na chadema jimboni kalenga.
2010....kura 900....
2015...kura 5000...hii ni hatua kubwa sana.
Pamoja na kuhonga mmeangukia pua. Yule mungu wenu vipi?
Wajua ni ongezeko la asilimia ngapi?Tunaokokotoa mahesabu kama biashara yako ikipanda toka Tzs.900 kufikia Tzs.5000 ni ongezeko la asilimia ngapi?Ukiwa makini utaona ni jinsi gani chama kimepoteza mvuto,pamoja na kutumia mabavu bado mmenyangaywa wapiga kura 5000.Lazima mjitathmini.Na hapo ukizingati hakuna HAKI wala UHURU wa kupigia vyama vya upinzani.