Hongera CCM

Naona ameshindwa kuzungumzia hata kule kwao walikoenda na Mwigulu na ktamba et Mbeya ni yao na Mtela ndio aliyoijenga.Ile kata ilikuwa yao na bado wakanyang'anywa.Kama wewe ni kijike basi tuambie katika uchaguzi huu mmechukua kata ngapi za CDM?Mbona CDM imeweza kuchukua kata zenu ikiwamo na ile ya nyumbani kwenu.Mwite Mwigulu.Naona sasa huyu ananyemelea Banned kama mumewe Mwigulu.Ukiendelea na maneno yako ban ipo karibu na keyboard yako.
 
Bora umekumbuka zoezi mliloua watu, ingawaje ulitaka kupindisha lugha.
 

akisubutu ni kif....ro tu atapata hapa.
 

naona mnaanza kutoana macho ninyi kwa ninyi

mke mwenzio kaondoa avatar, umeona?
 
Mpwa, kama huyu binti atakua na uelewa basi haya maneno yatakua yamemwingia vizuri mno, naunga hoja yako mkono ila niongeze tu kusema kuwa, kama ni LAZIMA AENDELEE NA SIASA basi apunguze speed, ajifunze kuweka na maneno ya akiba.

CC: Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:
Afadhali Shonza ana interest tunazozijua kutoka kwa Mwigulu mzee wa kuovertake,na kina radhia,simiyu yetu n.k,wao interest zao ni zipi ndani ya ccm,nijuzeni tafadhali.
 
Mbona uchaguzi ulifanyika kata 26.Umeandika kuwa CCM walishinda kata 16 na CHADEMA kata 8 vipi kata zilizobakia 2 zilichukuliwa na chama gani?.
 
Inaonekana bado una ndoto ya kurudi Chadema!naona umeisifia 'indirectly'!Speed ya Chadema haikamatiki,hv mlipoteza kata ngapi kati ya hizo 8 walizonazo Chadema?Hapo mnajifariji!
 
Nadhani kuna swali la kujiuliza hapa sisi kama watanzania kwamba kuna nini kati ya chadema na Arusha?

Loser!

kesho utauliza, kuna nini kati ya CUF na Pemba.

Ngoja nikupe clue kidogo:

Mapinduzi yote dunia nzima huanzia Kaskazini.

Reference Point kwenye vipimo vya dira huwa ni Kaskazini


My Take:
Ushaanza kuwa na akili za Tambwe Hiza
 

Kwa mara ya kwanza tangu nimejiunga jamii forrum nakuunga mkono kwa kauli yako hii iliyojaa ukomavu na tathmini ya kisomi hongera ukiendelea kuwa analytical hivi utakuwa msaaa na sio mzigo hapa jukwaani once again kudos!
 
Hivi wewe uko chama gani?
 
Unaposema hata wenzako wanakuzodoa unamaanisha nini? Hembu jipange kabla ya kuongea wewe.

Yaan umeshasahau ulichomjibu mke mdogo? Ccm mna tabu nyie! We ndo wa kwanza kumpinga Shonza kwamba asiifananishe ccm na mchicha. Kuporwa kunauma. Sweety
 
tathimini yetu wana chadema nikwamba,kote walikoshinda ccm ulizi wa kulinda kura za chadema ulikuwa mdogo
 
Radhia mtamu! Kwelii???
Kamchicha kachungu, Mama Mwigulu anakwambia hata CCM ilikuwa kama Mbuyu ila sasa hivi ina-shrink kuelekea kuwa Mchicha.
 

Huwa ninasikia furaha na heshima kubwa nikisoma comments makini zilizojaa uchambuzi makini kama huu,, mkuu Maranya hongera sana kwa utafiti na comment ya kisomi!!
 
Mkuu huyu mtoto ametumwa si bure! Sisi tunapiga vita ubaguzi yeye anakolezea ubaguzi. Anahitaji mme wa kumtuliza moyo.
loser!

Kesho utauliza, kuna nini kati ya cuf na pemba.

ngoja nikupe clue kidogo:

Mapinduzi yote dunia nzima huanzia kaskazini.

Reference point kwenye vipimo vya dira huwa ni kaskazini


my take:
Ushaanza kuwa na akili za tambwe hiza
 
Huyu anaizalilisha CCM bila yeye mwenyewe kujielewa.
Kwa jinsi alivyoandika utadhani CCM ni chama kichanga "hata mbuyu ulianza ka amchicha"
Pengine haelewi kama sasa CCM inaanza kuporwa jimbo moja moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…