ni hakika na kweli imejaa utataAvatar yako imejaa utata!
Sijui ni miguu au mikono[emoji134]Avatar yako imejaa utata!
Utata gani tena?Avatar yako imejaa utata!
no swali lilipaswa liweSijui ni miguu au mikono[emoji134]
Inabidi urudi darasa linalofundisha sehemu za mwili wa binadamuSijui ni miguu au mikono[emoji134]
Hahahaaa...kumbe ile sherehe alikuwa anapasha kiporo
Alikuwa anamuoa 'mkewe'kumbe ile sherehe alikuwa anapasha kiporo
Yani kweli muache Mungu aitwe Mungu maana huo mguu hadi mie mwenyewe nautamaniMungu fundi
Hiyo miguu unaweza kutunga kitabu cha kuielezea na ukauza bei ghali.Mungu fundi
Namkubali sana binamu
Mtoto kafanana sana na binamu
Lazma upime oilLazima ujue kwanza kama shamba lina rutuba
Pole sanaNimedondosha simu janja yangu kwasababu ya Avatar yako.[emoji39][emoji39][emoji39]