Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,388
Bwana fulani alipoingia ofisini mikaka takribani mitatu iliyopita, aliingia kwa mbwembwe nyingi huku akifanya juhudi kubwa kujenga image ya kuonekane yeye ni Mr. Clean na ni mtu wa tofauti kabisa na watangulizi wake mpaka wenye akili ndogo wakaanza kumfananisha na Baba wa kijiji chetu ambae hata dunia nzima inamtambua na kumuheshimu.
Bwana huyu inaonekana aliandaa kundi la vijana la kumpamba mitandaoni kwa kutengeneza uongo mwingi na propanda nyingi kwa lengo la kumpamba na kufanya wengine wote waonekane hawakuwa waadilifu na hawakufanya kitu isipokuwa yeye tu na hata baadhi ya media kubwa nazo ziliingia katika huo mtego ama kwa kujua au kutokujua.
Hata hivyo, watu makini walishaona viashiria vyote vya usanii wa huyu bwana na wakaanza kuhoji ingawa kila aliehoji alionekana si mzalendo na kwamba anatumika na mabeberu.
Kipindi chote hiki bwana mkubwa huyu na kundi lake kwao kilikuwa ni kipindi cha ku-enjoy honeymoon period ya kusema uongo, kuhadaa watu, kuficha ukweli, n.k, lakini ni wazi sasa honeymoon hii inafika tamati na kinachofuata ni kipindi kigumu cha wako ku-face reality, kuumbuka na kuabika kwani ukweli wote sasa ndio unanza kujitokeza na hakuna uwezekano wa kuuzuia usijidhihirishe.
Ninahakika kwa miaka miwili iliyobaki, mambo yatabadilika sana na hiki hiki kitakuwa ni kipindi cha kujadili madudu yao moja baada ya lingine kadri yanavyoibuka na wao watakuwa na kazi moja tu ya kutetea na kujaribu kufunika madhambi yao kiasi kwamba hawatakuwa tena na moral authority ya kuendelea kusifu na kutukuza bali kujjitetea wao na huyo mtu wao.
Kila chenye mwanzao, kina mwisho.