Honeymoon period ya kuishi kwa propaganda na uongo mwingi sasa imefika mwisho, muda uliobaki ni wa kukabilana na reality na kuumbuka

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,303
Bwana fulani alipoingia ofisini mikaka takribani mitatu iliyopita, aliingia kwa mbwembwe nyingi huku akifanya juhudi kubwa kujenga image ya kuonekane yeye ni Mr. Clean na ni mtu wa tofauti kabisa na watangulizi wake mpaka wenye akili ndogo wakaanza kumfananisha na Baba wa kijiji chetu ambae hata dunia nzima inamtambua na kumuheshimu.

Bwana huyu inaonekana aliandaa kundi la vijana la kumpamba mitandaoni kwa kutengeneza uongo mwingi na propanda nyingi kwa lengo la kumpamba na kufanya wengine wote waonekane hawakuwa waadilifu na hawakufanya kitu isipokuwa yeye tu na hata baadhi ya media kubwa nazo ziliingia katika huo mtego ama kwa kujua au kutokujua.

Hata hivyo, watu makini walishaona viashiria vyote vya usanii wa huyu bwana na wakaanza kuhoji ingawa kila aliehoji alionekana si mzalendo na kwamba anatumika na mabeberu.

Kipindi chote hiki bwana mkubwa huyu na kundi lake kwao kilikuwa ni kipindi cha ku-enjoy honeymoon period ya kusema uongo, kuhadaa watu, kuficha ukweli, n.k, lakini ni wazi sasa honeymoon hii inafika tamati na kinachofuata ni kipindi kigumu cha wako ku-face reality, kuumbuka na kuabika kwani ukweli wote sasa ndio unanza kujitokeza na hakuna uwezekano wa kuuzuia usijidhihirishe.

Ninahakika kwa miaka miwili iliyobaki, mambo yatabadilika sana na hiki hiki kitakuwa ni kipindi cha kujadili madudu yao moja baada ya lingine kadri yanavyoibuka na wao watakuwa na kazi moja tu ya kutetea na kujaribu kufunika madhambi yao kiasi kwamba hawatakuwa tena na moral authority ya kuendelea kusifu na kutukuza bali kujjitetea wao na huyo mtu wao.

Kila chenye mwanzao, kina mwisho.
 
Kitabu cha utaekelezaji ni kikubwa sana tunajimwaga ni wapi tuwatajie wananchi.

Uchukuzi?
Nishati
Madini
Afya
Kilimo
Elimu
Mapambano dhidi Ufisadi

Ulizia mafanikio sekta yoyote Tukupe mifano inayoshikika ....Upinzani hakuna Chaka mnaloweza kujifichia
 
Bwana fulani alipoingia ofisini mikaka takribani mitatu iliyopita, aliingia kwa mbwembwe nyingi huku akifanya juhudi kubwa kujenga image ya kuonekane yeye ni Mr. Clean na ni mtu wa tofauti kabisa na watangulizi wake mpaka wenye akili ndogo wakaanza kumfananisha na Baba wa kijiji chetu ambae hata dunia nzima inamtambua na kumuheshimu.

Bwana huyu inaonekana aliandaa kundi la vijana la kumpamba mitandaoni kwa kutengeneza uongo mwingi na propanda nyingi kwa lengo la kumpamba na kufanya wengine wote waonekane hawakuwa waadilifu isipokuwa yeye tu na hata baadhi ya media kubwa nazo ziliingia katika huo mtego ama kwa kujua au kutokujua.

Hata hivyo, watu makini walishaona viashiria vyote vya usanii wa huyu bwana na wakaanza kuhoji ingawa kila aliehoji alionekana si mzalendo na kwamba anatumika na mabeberu.

Kipindi chote hiki bwana mkubwa huyu na kundi lake kwao kilikuwa ni kipindi cha ku-enjoy honeymoon period ya kusema uongo, kuhadaa watu, kuficha ukweli, n.k, lakini ni wazi sasa honeymoon hii inafika tamati na kinachofuata ni kipindi kigumu cha wako ku-face reality, kuumbuka na kuabika kwani ukweli wote sasa ndio unanza kujitokeza na hakuna uwezekano wa kuuzuia usijidhihirishe.

Ninahakika kwa miaka miwili iliyobaki, mambo yatabadilika sana na hiki hiki kitakuwa ni kipindi cha kujadili madudu yao moja baada ya lingine kadri yanavyoibuka na wao watakuwa na kazi moja tu ya kutetea na kujaribu kufunika madhambi yao kiasi kwamba hawatakuwa tena na moral authority ya kuendelea kusifu na kutukuza bali kujjitetea wao na huyo mtu wao.

Kila chenye mwanzao, kina mwisho.
Akiondoka madarakani atakimbia nchi maana kafanya madudu mengi ndani ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani ndio unaenda kuumbuka, wewe subiri. Tutaona kama mtaenda vijijini muwaambie wananchi kuwa, Serikali hii ni ya kidikteta: imezuia Bunge live, imeminya demokrasia, imezuia siasa, imezuia kuandamana, inawakamata Wapinzani, inawa-harass mashoga, inafungia nyimbo zisizo na maadili, na blah blah nyingine nyingi tu.

Wao wa CCM, hawataongea watakuwa wakitaja tu vitu walivyoahidi na kutekeleza: elimu bure, maji, afya, umeme vijijini, barabara nzuri, SGR, stieglers, Dreamliner, wamachinga vitambulisho, etc, etc, etc.

Kazi kwenu Wapinzani.
 
Hata
Kitabu cha utaekelezaji ni kikubwa sana tunajimwaga ni wapi tuwatajie wananchi.

Uchukuzi?
Nishati
Madini
Afya
Kilimo
Elimu
Ulizia mafanikio sekta yoyote Tukupe mifano inayoshikika
Hata kina Saddam Hussein walikuwa na comedian anayeitwa comical Ali
alikuwa anafurahisha Sana kwa kuongea kinyume
 
Wazungu wanasema, mgodi mtupu hauchimbwi. . CAG kasema hana documents za ramani kamili ya huo mgodi
 
Upinzani ndio unaenda kuumbuka, wewe subiri. Tutaona kama mtaenda vijijini muwaambie wananchi kuwa, Serikali hii ni ya kidikteta: imezuia Bunge live, imeminya demokrasia, imezuia siasa, imezuia kuandamana, inawakamata Wapinzani, inawa-harass mashoga, inafungia nyimbo zisizo na maadili, na blah blah nyingine nyingi tu.

Wao wa CCM, hawataongea watakuwa wakitaja tu vitu walivyoahidi na kutekeleza: elimu bure, maji, afya, barabara nzuri, SGR, stieglers, Dreamliner, wamachinga vitambulisho, etc, etc, etc.

Kazi kwenu Wapinzani.
Vijijini hakuna haja ya kuambiwa na mtu wanajionea wenyewe hali ya maisha ilivyongumu.
 
Upinzani ndio unaenda kuumbuka, wewe subiri. Tutaona kama mtaenda vijijini muwaambie wananchi kuwa, Serikali hii ni ya kidikteta: imezuia Bunge live, imeminya demokrasia, imezuia siasa, imezuia kuandamana, inawakamata Wapinzani, I nawa-harass mashoga, inafungia nyimbo zisizo na maadili, na blah blah nyingine nyingi tu.

Wao wa CCM, hawataongea watakuwa wakitaja tu vitu walivyoahidi na kutekeleza: elimu bure, maji, afya, barabara nzuri, SGR, stieglers, Dreamliner, wamachinga vitambulisho, etc, etc, etc.

Kazi kwenu.
Hawa ndio washauri wa bwana yule wanaoamini mwananchi wa kawaida wa kule kusini atawaelewa kwa kununua ndege na kujenga madaraja ya juu!!

Hata yule mwananchi wa Dar anaepita kwenye daraja la juu huko uchumi wake unaangamia na hata ajira hana hawezi kuwaelewa.
 
Upinzani ndio unaenda kuumbuka, wewe subiri. Tutaona kama mtaenda vijijini muwaambie wananchi kuwa, Serikali hii ni ya kidikteta: imezuia Bunge live, imeminya demokrasia, imezuia siasa, imezuia kuandamana, inawakamata Wapinzani, inawa-harass mashoga, inafungia nyimbo zisizo na maadili, na blah blah nyingine nyingi tu.

Wao wa CCM, hawataongea watakuwa wakitaja tu vitu walivyoahidi na kutekeleza: elimu bure, maji, afya, barabara nzuri, SGR, stieglers, Dreamliner, wamachinga vitambulisho, etc, etc, etc.

Kazi kwenu Wapinzani.
Moshi na Kilimanjaro yote nzima mkienda kupiga kampeni 2020 mtaulizwa Ben saanane yuko wapi? Mkimleta mtapewa kura la hasha subirini...
 
Bwana fulani alipoingia ofisini mikaka takribani mitatu iliyopita, aliingia kwa mbwembwe nyingi huku akifanya juhudi kubwa kujenga image ya kuonekane yeye ni Mr. Clean na ni mtu wa tofauti kabisa na watangulizi wake mpaka wenye akili ndogo wakaanza kumfananisha na Baba wa kijiji chetu ambae hata dunia nzima inamtambua na kumuheshimu.

Bwana huyu inaonekana aliandaa kundi la vijana la kumpamba mitandaoni kwa kutengeneza uongo mwingi na propanda nyingi kwa lengo la kumpamba na kufanya wengine wote waonekane hawakuwa waadilifu isipokuwa yeye tu na hata baadhi ya media kubwa nazo ziliingia katika huo mtego ama kwa kujua au kutokujua.

Hata hivyo, watu makini walishaona viashiria vyote vya usanii wa huyu bwana na wakaanza kuhoji ingawa kila aliehoji alionekana si mzalendo na kwamba anatumika na mabeberu.

Kipindi chote hiki bwana mkubwa huyu na kundi lake kwao kilikuwa ni kipindi cha ku-enjoy honeymoon period ya kusema uongo, kuhadaa watu, kuficha ukweli, n.k, lakini ni wazi sasa honeymoon hii inafika tamati na kinachofuata ni kipindi kigumu cha wako ku-face reality, kuumbuka na kuabika kwani ukweli wote sasa ndio unanza kujitokeza na hakuna uwezekano wa kuuzuia usijidhihirishe.

Ninahakika kwa miaka miwili iliyobaki, mambo yatabadilika sana na hiki hiki kitakuwa ni kipindi cha kujadili madudu yao moja baada ya lingine kadri yanavyoibuka na wao watakuwa na kazi moja tu ya kutetea na kujaribu kufunika madhambi yao kiasi kwamba hawatakuwa tena na moral authority ya kuendelea kusifu na kutukuza bali kujjitetea wao na huyo mtu wao.

Kila chenye mwanzao, kina mwisho.
Aliwaona watangulizi wake wajinga, siku hizi ni ruksa, kujenga kwenye vyanzo vya maji ruksa, kujenga mabondeni ruksa, kujenga kwenye hifadhi ruksa, machinga kupanga vitu barabarani ruksa, na bado hadi makinikia ataruhusu.
 
Hawa ndio washauri wa bwana yule wanaoamini mwananchi wa kawaida wa kule kusini atawaelewa kwa kununua ndege na kujenga madaraja ya juu!!
Nyie mnaoishi Nchi ya Kusadikika endeleeni na ndoto zenu za mchana.
Hamukujifunza mlivyokuwa mnaburuzwa kama matoto kwenye Chaguzi ndogo siyo?
Yaani chaguzi za Kata zaidi ya 130, mmeshindwa kupata hata 5 halafu hapo utataka kuwa-convince watu kuwa watu wako nyuma yenu, kweli?
 
Aliwaona watangulizi wake wajinga, siku hizi ni ruksa, kujenga kwenye vyanzo vya maji ruksa, kujenga mabondeni ruksa, kujenga kwenye hifadhi ruksa, machinga kupanga vitu barabarani ruksa, na bado hadi makinikia ataruhusu.
Bwana yule ana hali mbaya sasa ameanza kutapatapa kama mfa maji.
 
Nyie mnaoishi Nchi ya Kusadikika endeleeni na ndoto zenu za mchana.
Hamukujifunza mlivyokuwa mnaburuzwa kama matoto kwenye Chaguzi ndogo siyo?
Yaani chaguzi za Kata zaidi ya 130, mmeshindwa kupata hata 5 halafu hapo utataka kuwa-convince watu kuwa watu wako nyuma yenu, kweli?
Huoni hata aibu kuongelea hizo chaguzi za kisanii?
 
Nyie mnaoishi Nchi ya Kusadikika endeleeni na ndoto zenu za mchana.
Hamukujifunza mlivyokuwa mnaburuzwa kama matoto kwenye Chaguzi ndogo siyo?
Yaani chaguzi za Kata zaidi ya 130, mmeshindwa kupata hata 5 halafu hapo utataka kuwa-convince watu kuwa watu wako nyuma yenu, kweli?
Nakwambia uchaguzi ujao hata kama atalazimisha kushinda kwa 100% lkn hatoishi kwa amani kama watangulizi wake.
 
Bongo bwana. Mtu usipobadilika wewe ni dictator, ausikilizi ushauri, jeuri. Ukibadilika hali ni tete, una tapatapa, uongozi umekushinda.

Kazi kweli kweli. Kweli binadamu ni gunia la misumari, halibebeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom