Mfano mzur kwenye mafuriko ya mwanza watu walianzisha ushenzi wa whatsa app group kwenye Uzi wa update ukajaa Namba badala ya updates na wakauwacha hivyo hivyoMkuu kwanini waogope wakati wameshainunua JF na Jukwaa la Moderators lote limehamia kwa watu wa LUMUMBA.. Wewe hushangai hizi propaganda za UDINI na UKABILA zinawekewa mpaka thread na thread inaachwa?? Wewe hushangai waeneza propaganda hizo wanaachwa lakini sisi tukiwakosoa kidogo wanatulima BAN..
Mkuu this place sio safe tena, JF imeshauzwa kwa CCM na wao ndio wanairun sasa, hii yote ni akina Melo kuogopa ile sheria itakayoanza September 1. Hawana jinsi, ili mkono uendelee kwenda kinywani ilikuwa lazima wafanye negotiations na watawala na JF sasa itumike kama wao watakavyotaka. Mfano mdogo tu; wakati ule wa maafuriko ya Mbeya, Arusha na Mwanza pamoja na Zanzibar waliibana SERVER na pia Guests walifungiwa kufuatilia kinachoendelea "ukizingatia JF ndio inatoa latest feeds kwa muda muafaka kwa both members na non-members ambao ndio kundi kubwa zaidi", watu walikuwa wanalalamika hata wakitaka ku'upload picha humu zinagoma, lakini leo kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CCM network ilikuwa shwari, unaingia kama guest inakubali na picha zina'upload kwa uzuri kabisa.. Swali ni why?? Jibu wanalo Mods..
Kwa kipindi hiki hata sie tunaoweka threads au post za kuwananga hawa jamaa tuwe makini sana, the next day unaweza kuta jina lako linatembea kwenye carridors pale Oysterbay Makao Makuu, na vijana wa kazi wakapewa majukumu haraka..
Ukimya wa Kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi na Waziri mkuu wa Tanzania, Mh Mizengo Peter Pinda unaibua tafrani ndani na nje ya chama.
Mh Pinda Hakuweza kuonekana katika tukio muhimu la chama la uzinduzi wa Kampeni ya CCM. Hali ambayo ilizua maswali, ni vipi mtu kama yule anakosekana pale.
Mzee wetu, tunakusihi ufanye uamuzi mapema kabla Dirisha la usajili la UKAWA halijafungwa. Tunajua kuna udhalimu ambao umeugundua ndani ya Chama chako, basi ni vyema kuamua mapema.
Tunajua kwamba uko na mwenzako ambae naye pia yuko katika dimbwi Zito la Mkanganyiko. Nakushauri puuzia vitisho vya aina yeyote na uanze safari na ukurasa mpya wa siasa.
Watanzania wanamatumaini makubwa sana mabadiliko ambayo yanatarajika kufanyika hapo Oktoba! Si vibaya nawe ukawa sehemu ya hili tukio muhimu la kihistoria.
Karibu sana katika mezani yetu na pia shiriki nasi kuwaletea watanzania mabadiliko yaliyo shindikana kwa miaka 53 iliyo pita.
-Mzalendo.

Heri wao walokumbuka kuwasumbukia wanyonge kuliko wewe uloshiba kodi za wenzako

Mkuu Mimi sio hapa jf tu mpaka mtaani nakomaa nao naelimisha watu nyumba kwa nyumba wataisoma lazima tuwatoe huu ndio mwisho waoMkuu ni kuendelea kuwakomalia tu.. Ila siku zote kuku akiwa anachinjwa kama hujamkanyaga miguu na mbawa vizuri anaweza kukuponyoka. Ni kuendelea kula nao sahani moja tu mpaka watakapoachia Ikulu October..
Acha waje waumbuke afu mchezo uishe.
Mmekosa mvuto kwa hao wote waliohamia leo mnambembeleza Mhe Pinda aje kuwaokoa! Ukawa choka mbaya!